Atakuwa Kabila gani

Atakuwa Kabila gani

Huyu atakuwa kabila gani?View attachment 2582232
Atakuwa ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mrangi au Mkerewe au Mnyamwezi. Uhakika nilionao ni kwamba hawezi na hatokei Mkoa wa Mara ( Musoma ) kwakuwa ndiyo Mkoa wenye Wanawake Warembo na Werevu Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, Kusini, Afrika nzima na Kote duniani.
 
mkuu uko sawa??
 
Kimaumbile ni chagga baby, ila ki swagga ni chapa ya ng'ombe.
 
Back
Top Bottom