Atakayemuelewa Kipanya leo atusaidie

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1595475432776.png
 
1.Wembe wa kwanza ni kura za maoni CCM wamekatwa wengi sana wamekufa angalia ivyo vichwa vizuri.

2.Wembe wa pili ni uchaguzi mkuu mtu unajipelekea mwenyewe kujua hatma yake kama atakatwa au atatoboa wasiwasi ni mwingi si umeona huyo jamaa ameweka shingo anasubili atatoka salama au naye atakatwa.

3.Wembe namba 3 salama hauna mtu hii inamaana huo ni uongozi au bado hatujafika uko Kwaiyo hakuna madhara kwa sasa.
 
1.Wembe namba moja kura za maoni za wajumbe za watu wa CCM watu wamechinjwa kweli.
2.Wembe namba mbili jamaa anasubiri hatma yake kuteuliwa na Halmashauri kuu ya CCM na hajui kama atachinjwa au la.
3.Wembe wa mwisho ni uchaguzi mkuu.
 
Wembe wa kwanza ni kura za maoni CCM wamekatwa wengi sana wamekufa angalia ivyo vichwa vizuri.
Wembe wa pili ni uchaguzi mkuu mtu unajipelekea mwenyewe kujua hatma yako utakatwa au utatoboa wasiwasi ni mwingi si umeona huyo jamaa ameweka shingo anasubili atatoka salama au naye atakatwa.
Wembe namba 3 salama hauna mtu hii inamaana huo ni uongozi au bado hatujafika uko Kwaiyo hakuna madhara kwa sasa.
Umenena vyema, ila wembe wa kwanza ni kijani na wa pili kijani na watu ni rangi nyeupe. Means wa kwanza ni kura za maoni kama ulivyosema na wapili ni kamati kuu bado ni ndani ya wazee wa kijani. Watatu hatujafika, huo ndio uchaguzi mkuu ambapo kijani na wasio kijani watachuana. Mimi nimedrive kutoka kwenye idea yako mkuu
 
Sawa mkuu umejazia nyama huwenda alikuwa anamaanisha hivyo.
 
Nyembe mbili za mwanzoni ni za rangi Kijani, huo ni uchaguzi ndani ya CCM, wembe uliobaki ni Uchaguzi Mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom