Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,138
KIPANYA HUYO.jpg
 
Tafsiri fupi ya mwelekeo wa uongozi wa taifa hili.......................Mchoraji ana mengi sana ya moyoni
 
Raisi yupo kipindi kigumu, kuna daraja la mtego inabidi avuke ili tuendelee na safari, akijichanganya atumbukie tumeisha
 
Safari ya 2025 hana uhakika na jinsi atakavyovuka katiba mpya, bandari na tume huru.
 
Ndugu Wadanganyika .....hapo hatoboi upande wa pili.......lakini ghafla kutoka kwenye korongo wanaibuka polisi na tume ya uchaguzi wanamnyakuwa kama afanyavyo SpiderMan.....da..da...ni kivumbi tu hapa na vitu vyenye ncha kali vimezagaa kila eneo........nini tene....aahhhh...naona Chawa wote wanainama na kusujudi huku wakiimba kazi iendeleee....huku wakielekea uwanja wa Uhuru.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom