Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
TANGAZ0
M/S UBAPA COM PANY LIMITED
KWA MAMLAKA TULIYOPEWA NA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI TUNAWATANGAZIA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA WOTE KATIKA MANISPAA YA KINONDONI KUWA:
WAMILIKI WOTE WA MATANGAZO YA BIASHARA YALIOANDIKWA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO, KUCHORWA KUTANI, KWENYE MAPAA, VIPEPERUSHI, KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI, MATANGAZO YA VIPAZA SAUTI N.K. KWAMBA:- WANATAKIWA WAWE WAMELIPIA MATANGAZO YAO YA BIASHARA KUPITIA KWA
M/S UBAPA CO MPANY LIM ITED
ADA YA MWAKA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI 2015 HADI JUNI 2016. MWISHO WA KULIPIA ADA BILA FAINI NI TAREHE 30 JANUARI 2016 KUSHINDWA KUFANYA HIVYO ITAPELEKEA HATUA KALI ZA KISHERIA KUCHUKULIWA DHIDI YA WAHUSIKA IKIWA NI PAMOJA NA KUONDOSHA / KUYAFUTA MATANGAZO YOTE YATAKAYOKUA HAYAJALIPIWA, KUFIKISHWA MAHAKAMANI NA KULIPA FAINI IKIWA NI PAMOJA NA GHARAMA YA KUONDOA NA KUTUNZA MATANGAZO HAYO.
TAFADHARI: HAKIKISHA UNALIPIA TANGAZO LAKO BILA SHURUTI.
ATAKAYELIONA TANGAZO HILI AMTAARIFU NA MWENZAKE.
Imetolewa na:
AFISA MTENDAJI MKUU
UBAPA COMPANY LIMITED
Last edited: