Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
. . . . Na hao hao wanaotoa amri hizo ndio wateja wakuu wa hao dadapoa wavaao mavazi hayo.
KWELI HUU NI UNAFIKI MTUPU.
hapo sasa

SHARIA is more than madness. Niliona kitoto cha around eight years kwenye nchi ya kiislam kikikatwa mkono wa kulia eti kimeiba. Baada ya three years dogo hakuweza kukumbuka mkono wake kaupoteza vp. halafu mijitu mizima minus brains inachekelea waqt dogo alopokua anakatwa mkono hadharani

Daaaa, Ije Dar Hiyo!

huo ni unyama ndo maana naziogopa sana nchi za magaidi hao(wajilipua mabomu)

Unadanga ndugu mtoto wa miaka 8 hata dhambi hana. Na sheria inamuhukumu mtu atakapofika miaka 15.
huo ni unyama ndo maana naziogopa sana nchi za magaidi hao(wajilipua mabomu)
Muongo.
weka picha.
Mkuu, pana watu wengine humu kazi yao kuuliza tu maswali hata ukitupia uzi kuhusu CCM utaulizwa CCM ni nini!Badiri Tabia. Kama nguo za nusu uchi huzijui utakuwa sio kiumbe mwanadam mwenye akili timam. Otherwise unaelewa.
Hongereni wazanzibar kwa msimamo wa kujitambua.changamoto mnayo kwa watalii stone town
SHARIA is more than madness. Niliona kitoto cha around eight years kwenye nchi ya kiislam kikikatwa mkono wa kulia eti kimeiba. Baada ya three years dogo hakuweza kukumbuka mkono wake kaupoteza vp. halafu mijitu mizima minus brains inachekelea waqt dogo alopokua anakatwa mkono hadharani
!
!
akina makame bwana