Inauma lakini wenzie hatufanyi hivyo, tunadili na huyo kidume kwa kumpa alichompa huyo mama mbele ya huyohuyo mwanamke, halafu mwanamke tutaelewana nyumbani lakini si kwa staili hiyo.Jamani wivu wa mapenzi ni noma !
lakini jamaa na yeye si angemmega huyo mshikaji au angemkata kiungo tendaji ili asiwatende na wengine.Kuibiwa kibobo ni noma............... roho inauma eti! Kama alifanya within 10seconds then action haitakuwa imekusudiwa. Everybody has inability to control himself/herself within that time limit!
Hiyo ndio dawa ya wanawake wazinzi.
unaweza ukawaeleza wanajamvi waliopo hapa nini dawa ya mwanaume mzinzi anaeteleza familia yake. tafakari kwanza kabla ya kutenda huu unyama nini chanzo, asikwambie mtu ukiona mwanamke ametoka nje kuna sababu na wengi ni baada ya waume zao kutotimiza wajibu hasa wa chakula cha usiku. dharau baada ya kupata nyumba ndogo (kujisahau kwaujumla).