ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,107
- 49,809
Baada ya Wanawake kuwaua waume zao Kwa wivu wa mapenzi huko Sumbawanga naona wanaume wameanza kulipa Kisasa.
Kutoka Tanga Mume amkata mkewe Kwa mapanga na Nduguye kisa wivu wa mapenzi kisha kutokomea kusikojulikana.
=======
WANAWAKE wawili wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mkanyageni, Muheza mkoani Tanga, wameuawa kwa kukatwakatwa na panga kwa madai ya wivu wa mapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Henry Mwaibambe, alisema tukio hilo lilitokea juzi baada ya Ally kumtuhumu mke wake, Mwanahawa Khatib kuwa anamsaliti katika ndoa yao.
Mbali na kumuua mke wake huyo, Kamanda Mwaibambe alisema Ally alimuua pia Sauda Sufiani ambaye ni ndugu na Mwanahawa.
Alisema baada ya kutekeleza mauaji hayo akiwa porini, mtuhumiwa alikimbilia kusikojulikana na Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamsaka ili hatua za kisheria dhidi yake zichukuliwe.
=======
My Take: Somo la Ustahimilivu lianxishwe haraka sana.