At Karimjee Hall...!!!

At Karimjee Hall...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salam wakuu,
za weekend? mi ndo naingia hapa ukumbi wa Karimjee maeneo ya posta kwenye harusi ya kaka yangu mpendwa alieamua kujivua ukapera leo. picha linaanza sijala tangu mchana ili ni amplify hunger yangu (lols.)
 
Wow.....hongera sana zake

Tafuta na big G uzidishe njaa na uroho wako
 
Mambo yalikua hivi:
wedder 2.jpg

View attachment wedder.jpg
wedder 1.jpg
 
Bora ummulize H.O.E siku hiyo tunaenda na bakuli za kufungia vyakula baada ya kushiba lol.....
mi si nawajua walafi wa Jf, sasa wewe komoa yako nawaambia wakujazie ubwabwa mwingi kusudi ushibe ushindwe kula nyammer
 
mi si nawajua walafi wa Jf, sasa wewe komoa yako nawaambia wakujazie ubwabwa mwingi kusudi ushibe ushindwe kula nyammer

Hahahahaha nakula nyama mwanzooooo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Bi dada kapendezaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom