Jk hawezi kutoa Udc kwa sasa labda huyo Mshama asubiri Lowasa anaweza kumfikiria akampa utendaji wa Kijiji maana Lowasa ameishasema hatalipiza kisasi
Tukubaliane kimsingi hii gia ya kumtumia Balali itawaletea shida sana akina Lowasa kabla na baada ya uchaguzi kama zilivyoanza kuwatokea puani sera za babu seya na magaidi wa zanzibar
Hivi kuna gazeti linaitwa UHURU?
Vioja vinaendelea,
Katika kipindi cha kutoka magezitini cha RFA, Imesomwa toka gazeti la UHURU kuwa Mbunge huyu Mstaafu anajiandaa kwenda mahakamani kumshtaki Lowassa ili aeleze BALALI alipo!!

Huyu fisadi atatiwa kitanzi tu ngoja mahakama ya mafisadi ianzishwe.
Litakapoanza hilo zoezi la kuwatia vitanzi mafisadi basi wa kwanza atakayening'inia kwenye hiko kitanzi awe Mkulu.Huyu fisadi atatiwa kitanzi tu ngoja mahakama ya mafisadi ianzishwe.
Huyu Mama hapo tuu bado ajatekenywa anahangaika hivi,je akitekenywa itakuwaje?
Vioja vinaendelea,
Katika kipindi cha kutoka magezitini cha RFA, Imesomwa toka gazeti la UHURU kuwa Mbunge huyu Mstaafu anajiandaa kwenda mahakamani kumshtaki Lowassa ili aeleze BALALI alipo!!
Hakuna Washana wenye akili za kipuuzi, huyo ni Mshanga sio Mshana!