Asubuhi tuu biashara inaisha

Asubuhi tuu biashara inaisha

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
11,450
Reaction score
31,562
IMG-20180110-WA0021.jpg
 
Hapo naona kuna Ke mmoja na Me wawili waliovaa nguo za kikeni....
Ama.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Muuza vifuko amebaki kuegemea na kuchekelea sidhani kama atatoka hapo as long as huyo dada yupo hapo.
 
Halafu utaona hao wengine wanaenda kwa mganga eti biashara haitoki mwenzetu kaloga.
Na mganga hakosi jibu, watapewa tu hata majivu ya bangi
 
Back
Top Bottom