ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Habari wadau wenzangu,naamini mpo wazima.....kuna jambo linanitatiza sana,
Ni saa tatu asubuhi,ofisini ndio kwanza kazi zinaendelea mtu anakutext "mambo?"...unajua labda anakutakia salamu unamjibu vizuri tu,kushtuka Mara zimefika text kumi zote hazina mada ni maswali... "ishu?"..."mzima?"..."nipe stori"....alafu kama haitoshi kesho atakutafuta mpaka wiki inaisha na anajua kabisa ni muda mtu upo ofisini,problem una smart phone so upo online muda wote....naomba msaada wadau huu ustaarabu kweli au ushamba wangu tu?.....
Heri ya mwaka 2014 wanaFJ!
goma kujibu watu wakujibie uje na uzi wa manung'uniko hapa jamvini..