K k2boo Member Joined Jul 19, 2013 Posts 30 Reaction score 7 Sep 19, 2013 #1 naitaji maeleozo ya kina kati izo receiver ipi ipo pouwa katika channel kupata vizuri na bei zake
Arselona JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 643 Reaction score 153 Sep 19, 2013 #2 unaposema astrovox au strong ni kama umesema unataka kununua gari aina ya toyota. Hatawezi kukusaidia kwa wewe kutaja tu brand names.
unaposema astrovox au strong ni kama umesema unataka kununua gari aina ya toyota. Hatawezi kukusaidia kwa wewe kutaja tu brand names.
K k2boo Member Joined Jul 19, 2013 Posts 30 Reaction score 7 Sep 19, 2013 Thread starter #3 astrovox vsr 9000 hd premir au astrovox vsr 9001s na strong srt 4922A au srt 4669x receiver mpeg 4 hd ipi bora zaidi na bei nataka kununua
astrovox vsr 9000 hd premir au astrovox vsr 9001s na strong srt 4922A au srt 4669x receiver mpeg 4 hd ipi bora zaidi na bei nataka kununua
Arselona JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 643 Reaction score 153 Nov 10, 2013 #4 k2boo said: astrovox vsr 9000 hd premir au astrovox vsr 9001s na strong srt 4922A au srt 4669x receiver mpeg 4 hd ipi bora zaidi na bei nataka kununua Click to expand... srt4669x c hd hata hivyo rcva hizo hazitengenezwi tena na strong tangu mwaka jana. uzionazo madukani kwa sasa ni feki.
k2boo said: astrovox vsr 9000 hd premir au astrovox vsr 9001s na strong srt 4922A au srt 4669x receiver mpeg 4 hd ipi bora zaidi na bei nataka kununua Click to expand... srt4669x c hd hata hivyo rcva hizo hazitengenezwi tena na strong tangu mwaka jana. uzionazo madukani kwa sasa ni feki.