Hiyo michezo ya dream mind huwa naifanya sana mkuu huwa nashangaa sana hizo, Stories za kutokurudi zinakuaje 🤔Uwekekano wa kutokurudi ni mkumbwa sana tena sana.
Hawa watu ambao walisema unarudi tu unajieka kwenye mwili wengi wanaota .
Ache muvi jamani kuna watu wengi tu nawajua wameshindwa kurudi.kwamba astral body inaweza kushindwa kurudi kwenye mwili wake!!!! Haya maelezo umeyatoa wapi??
sawa nawewe nakuweka kwenye kundi la matapeli...🤣Ukifanya meditation hasa zile deep meditation akili yako inakua katika hali ya utulivu mkubwa , sio rahisi kuendeshwa na hisia haribifu .
Sasa ukiwa katika state hiyo kwa mda mrefu kuna wakati unapokua umelala unaweza kusafiri kwa akili aisiyo tambulika ( unconscious mind) katika dreams mind yako .
Note. Hichi kitendo hakuna anaweza kukuthibitishia mpaka upate experience yako mwenyewe , tofauti na hapo ni kama adakadraba za kwenye vitabu vya dini tu.
Yaani natamani hata jf ingekuwa na voice message niwaelezee vizuri .Nimeona wasanii wengi wanaelezea walivyokuwa wanatoka kwenda gizani kuchukua lyrics na kila kitu Cha nyimbo zao..... Baada ya siku kadhaa wanarudi mzigoni.
Sasa kazi kwetu kuinjoi mziki tusioujua verses zimetokea wapi.
Astral projection ...htumika zaidi na Wachawi lakini ukija kucheki walivyoipamba kisayansi Kama kweli vile .... Mtiti Zama ujionee.Yaani natamani hata jf ingekuwa na voice message niwaelezee vizuri .
Hakuna kitu kama kurudi
" welcome but no return"
Hahahaha sio tapeli mkuu kwa sababu sijawahi shawishi mtu afanye ila ni jambo ambalo lipo wala halina uhusiano na kifo, sema wewe porojo za kifo zilikutengenezea illusion za kifo tu😂😂😂sawa nawewe nakuweka kwenye kundi la matapeli...🤣
sio kwamba siijui naijua na nilishawahi ifanya nikawa nahisi kufakufa nikaona isiwe tabu nisijichoshe kizazi!
we jamaa haujawahi kufanya astral projection na haujui astral projection ni kitu ganiAche muvi jamani kuna watu wengi tu nawajua wameshindwa kurudi.
Sio kirahisi kama stori za hawa watoto wanavyosema
Kama huna roho wa kukurudisha you are gone
" welcome but no return"
sawaHahahaha sio tapeli mkuu kwa sababu sijawahi shawishi mtu afanye ila ni jambo ambalo lipo wala halina uhusiano na kifo, sema wewe porojo za kifo zilikutengenezea illusion za kifo tu😂😂😂
1.Uzoefu ni wa mwezi 1Tuambie kwanza uzoefu wako,umetumia muda gani mpaka ukaweza,changamoto gani ulikutana nazo,ulipotoka nje ya mwili ulienda wapi?nani alikusaidia.
Faida zake ni nini?Je imani yako inasemaje juu ya jambo hilo
Ahsante.
Nakusalimu mama.Enzi za jf hizi ndio zilikua mada
1.Uzoefu ni wa mwezi 1
2.Nilitumia mda zaidi na walimu wengi zaidi ikiwemo marehemu Babu
3. Changamoto ni kwamba unaweza usirudi kabisa kabisa
Hapo ni kucheza na kifo live1.Uzoefu ni wa mwezi 1
2.Nilitumia mda zaidi na walimu wengi zaidi ikiwemo marehemu Babu
3. Changamoto ni kwamba unaweza usirudi kabisa kabisa
Mkuu USINIFOKEENyie ndo wale mnaokufa usingizini
Mizimu ya kwenu inakutembeza mapangoni unasema miji ya ajabu kwasababu ya Astra projection.i wish niweze kucontrol hunitokea mostly nikilala hua najikuta natembea miji ya ajabu nisiowah kuiona
kama huna cash kapambane na hali yakonitumie address yako ya bitcoin nikutumie huko sina cash mchumba!
kwa hiyo nikusaidie nini kwa mfano? unaona wivu mimi mizimu ya kwetu ikinitembeza? si uongee na ya kwenu na wewe upate adventure babu? mtoto wa kiume punguza shoboMizimu ya kwenu inakutembeza mapangoni unasema miji ya ajabu kwasababu ya Astra projection.
mh! lione kupenda hela tu kutoa kizazi aaah..😂kama huna cash kapambane na hali yako
Nimeletewa kitabu Toka Spain (bure) kinaitwa Red Planet Inafundisha Hilo jambo na hata maneno ya kusema ingawa bado sijafanikiwa.Habari wanajf,
Nilikuwa naomba mrejesho wa walioweza kufanya Astra projection.
Maana mimi nimeweza jana baada ya siku nyingi?