Pacbig
JF-Expert Member
- Oct 15, 2017
- 1,095
- 2,090
Dah regardless but am very excited for really!!
Mi pia nachojua ni Samatta kafunga mengine ni Smith mwenyewe!Matokeo hayanihusu. Nachojua ni Samatta kafunga.
Kabisa mkuu tunachojua sisi samatta kafunga goal la kwanza EPLMi pia nachojua ni Samatta kafunga mengine ni Smith mwenyewe!
Ndomana nilisema samata ni kama ronaldo wakanitukana sana
DuuhKama kapiga goli safi sana. Ndio kazi aliyoajiriwa nayo, hizo za kufungwa ni jukumu LA mabeki



The same mkuuChama langu la utotoni hili.Sasa hivi nalifanya back up ya Man u
Wakifungwa sana hata umuhimu wa Samatta utashuka.Hata wafungwe 10 sisi hatuna tabu, almuhimu samatta kafunga kuonesha kiwango kizuri baasi! Hawa na jack grealish wao watatupa maradhi yasiyo na tiba.