Assume wewe ndio huyoo lulu.....

Assume wewe ndio huyoo lulu.....

Mutukwao

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
211
Reaction score
25
Embu chukua haya matatizo aliyoyapata mwenzetu hatujui kakusudia au ni bahati mbaya tu na ujitwikwe wewe.ungekua unajiskiaje right now?
 
isingetokea, simu yangu huwa haina siri kwa mwenzangu.
 
Dah! Kuna situation ikikukuta yani hata ukiwa mdogo kama piriton haitosaidia!
Even your whole life regretting may not be enough....Hata kama huyo mtoto alikuwa kapinda,
right now she will need sympathy and understanding to get through this..
 
ningekua najuta sana! na hapo jela wangejisahau kidogo tu ningemfata kanumba aliko!!
 
ningekuwa najisikia kama niko location na-shoot scene!na baada ya hapo nitarudi ktk maisha ya kawaida!
 
Mungu niepushie mbali,ctaki kujitabiria wala kujiashumia mambo ya hivi coz ni insidenti zinazotokea bila kutarajiwa!
 
Back
Top Bottom