Assume unakuwa Lecturer wa J.Mnyika

Assume unakuwa Lecturer wa J.Mnyika

Kawaida tu. Hata form six alikuwa na div 2. Na hapo ndipo ninapopimia uwezo halisi wa mtu kukata nyanga.
 
Tukiweka itikadi za vyama pembeni,kuna watu ni exceptional sana,wana reasoning capacity ya hali ya juu.Kuna jamaa aliwahi kuniambia kazini kwao ile sheria mpya ya manunuzi wanaiita Sheria ya Mnyika kutokana na mchango wake mkubwa ktk kupitisha sheria hiyo.Wote tunaona kijana anavyotoa changamoto kwa mawaziri madokta na maprofesa!Sasa assume J.Mnyika ni mwanafunzi wako,unajiandaaje kisaikolojia kuchalenjiwa wewe na handout zao

Mnyika anaakili nyingi sana,ningekua mwalimu wake ningekua nampa vipengele vigumu awafundishe wenzie mimi nakaa kama dent.'participatory'
 
Anaonekana sababu ya alio nao ila huyu kawaida kabisa yani!!!!!!
Wengi hawasomi na hawajiandai kimsuli!!!!

Si mmesikia mmoja kasema huu sio wakati wa "business as usual" ni ipi kwa mfano???!!!
 
Ha ha ha

Huyo ndio Mchumi namba moja. ..
 
Hahahaha nina safari ya Zenji kule bila hilo gamba hulali na kidoshi itabidi jamaa aniazime nitoe fotocopi.

Hicho ndo kilimwondoa UDSM Maprofesa wa TZ hawataki challenges.
 
Tukiweka itikadi za vyama pembeni,kuna watu ni exceptional sana,wana reasoning capacity ya hali ya juu.Kuna jamaa aliwahi kuniambia kazini kwao ile sheria mpya ya manunuzi wanaiita Sheria ya Mnyika kutokana na mchango wake mkubwa ktk kupitisha sheria hiyo.Wote tunaona kijana anavyotoa changamoto kwa mawaziri madokta na maprofesa!Sasa assume J.Mnyika ni mwanafunzi wako,unajiandaaje kisaikolojia kuchalenjiwa wewe na handout zao
Chuoni kuna course outline kwa hiyo hamna kuogelea holela kama bungeni. Ukijifanya unasonga module ya mbele ambayo bado kufundishwa unapigwa stop. Lakini mwanafunzi kama Mnyika unaweza ukamtumia vizuri tu darasani kukukusanyia data za mambo mbalimbali
 
Back
Top Bottom