Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,585
- 140,009
Tukiweka itikadi za vyama pembeni,kuna watu ni exceptional sana,wana reasoning capacity ya hali ya juu.Kuna jamaa aliwahi kuniambia kazini kwao ile sheria mpya ya manunuzi wanaiita Sheria ya Mnyika kutokana na mchango wake mkubwa ktk kupitisha sheria hiyo.Wote tunaona kijana anavyotoa changamoto kwa mawaziri madokta na maprofesa!Sasa assume J.Mnyika ni mwanafunzi wako,unajiandaaje kisaikolojia kuchalenjiwa wewe na handout zao