Assume: Muungano umevunjika

Kuazirika kwetu kunakuhushu nini wewe, yakhe?
 
tuuvunje muungano na tujiandae kuona pemba ikitangazwa kuwa jamhuri huru na ugunja ikienda kuzima uasi wa pemba na wapemba kujaa tanga na mombasa wakikimbia vita na mengineyo mengi yaletwayo na military conflicts. ingawa hivyo tanganyika irudi ili muungano uwe wazi na kila upande ufanye mambo yake na machache ya muungano yaachiwe watendaji wachache kupunguza ukubwa wa serikali.
 
Huyo mbwa ni wa nani?na huyo mwarabu ni mkoloni au?
 
Kwani tukijiita watz itakuuma nini? Chukueni visiwa vyenu sisi tutaendelea kuwepo kama tz kila mtu kivyake we wont lose sleep.
 
Huyo mbwa ni wa nani?na huyo mwarabu ni mkoloni au?
Bi Rosemarie, naona wewe ni mdogo sana. Huyo si Mwarabu. Ni Mfalme Haile Selassie Rastafari wa Ethiopia. Huyo mbwa alikuwa ni mlinzi wake.
 
Nazidi kuwashauri mrudishe Utaifa wenu wa Tanganyika.

Kwani hata mwanamke akiolewa na kisha kuachika basi anarudia lile jina lake la zamani.

KARIB TANGANYIKA
Hivi ninyi Tanganyika inawahusu/ inawakwaza nini? Sisi wenyewe ndani ya Tanganyika tumetulia, ninyi visiwani mnatupigia kelele rudisheni Tanganyika, rudisheni Tanganyika. Haiingii akilini.
 
:mod: Du haya mtoto akililia wembe mpeni, 😛ound:kama mmeshaptiwna mkitakacho kwa mwarab😛ound:u wenu aliyekimbia haya, msije mkatulilia tena sisi tutabaki kama Watanzania, na wewe:A S 103: kama ni mbwana usiwadanganye wenzako wawe watwana kwani sisi huku bara tupo na wapemba hasa na njaa zao. Juzi tu mmechoma maduka ya ndugu zetu eti Muungano umeshavunjika, tutakapowacharanga viboko wenzenu tutajua nani ni mamluki
 
Hivi Zanzibar ina uchumi9 gani mpaka hawa Wazanzibari wafikirie kuwa hatuwezi kuishi bila Zanzibar?
Kuna nini cha maana Zanzibar au mwanamke gani wa bara anataka kuolewa na wanaume mabwabwa wa Zanzibar? Kuna wanawake gani wazuri Zanzibar wasioluwepo bara - kama ni wamanga koko wamejaa Kigoma ujiji, Tabora, Tanga, Kilwa, Bagamoyo n.k ..... nani anawataka hao waarabu waliochoka kimaisha?

Sioni mantiki ya mtoa hoja!!!! - Zanzibar kuna dhahabu kama za Geita, Kuna Sangara kama za Mwanza na Kigoma, Kuna mgebuka? Kuna Tanzanite, Kuna Kahawa nzuri kama za Kilimanjaro au kuna Pamba kama za Shinyanga? Je Zanzibar wana mbuga za wanyama kama Serengeti na Mikumi? ==---- Wana beach za kupumzikia watalii kama za Kigamboni,,,,,

Zanzibar watueleze kuwa wanakitu gani cha maana kinachotushawishi tuwaone wa maana katika Muungano!!
 
 

Zanz ikichangia pesa hiyo akabidhiwe nani? Serekali ya Tanzania ambayo hiyo hiyo ndio tanganyika? au Tanganyika ambayo haipo? au zanzibar ambayo ni moja ya nchi zilizoungana.

Tafakari kabla ya kuleta hoja.
 
Hakuna kitu kama hicho, hivyo haina haja ya kufanya assumption. Wale wote mnaodhani muungano unavunjika mnajisumbua bure, muungano huu kamwe hautavunjika, damu za pande mbili zimeshaungana tutazitenganisha vipi?
 
Na tanganyika inayo changia pesa katika muungano inamkabidhi nani? au inajikabidhi yenyewe na kuzitumia kwa mambo yake yenyewe?
 
siku hiyo nitafanya sherehe kubwa sana mtaani kwetu gharanama zote juu yangu! Tanganyika sound good more than Tanzania
 

Haya ndio maneno yetu:



View attachment 29872
 
@Pharaoh,

Mie nadhani unajidanganya kama ushoga umeletwa na muungano.Kesi muhimu ya ushoga ilikuwa Malawi vijana walipoamua kufunga ndoa.Sasa huko nako Zanzibar imehusika vipi ?

Mie nadhani kama shoga ni shoga tuu.Not much people can do about that. May be you should come out of the closet...badala ya kuleta hoja za visingizio vya muungano vimekufanyia vibaya....Mkuu taratibu bana, sema tuu kilichokusibu bila kumuua staring kati ya mchezo!
 

Yeah!! Get me my lovely Tanganyika now. Tanganyika Tanganyika I miss you because of the Ghost! called "Union"
I don't need this ghost!!!!! GOooooo!!! I say Goo to hell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…