Assistant auditor tanapa

Assistant auditor tanapa

masaumbe

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
42
Reaction score
11
Habari wana JF,kwa wale ndugu zangu mnaokumbuka drama la sakata la Aptitude test tulifanya pale Uhasibu kwa Post ya Assistant Auditor,Napenda kuwahakikishia na kuwapa habari za kweli,NBAA walicheza mchezo mchafu sanaa,kuna vijana ambao nawajua na najua wazazi wao,Wazazi ni vigogo wakubwa tu ambao kipindi cha Nyuma walikuwa kwenye Mgt ya NBAA sasa hivi wana Audit Firm zao,wamewaingiza watoto wao TNP,na sasa ndio wako kazini,wameanza kupewa Mashati meupe yenye nembo ya Tanapa.

Kwa kweli aliyepewa ataongezewa,Bila shaka hata kesho saa kumi Jina lako Pale NBAA kwa Post ya Assistant Accountant hutaliona.

Tutazidi kuwa maskini endapo tutaendelea kusubiri hizi Ajira za kupeana,Ndugu zangu tujiajiri,sina Imani na Ajira za serikali hapa TZ
 
Mitaji iko wapi?au kujiajiri ni kama kuvuta hewa ya oxygen?
 
Kumbe matokeo ya aptitude ya jana yanatoka leo,tunayapata wapi? Jmn anaejua atuambie
 
Back
Top Bottom