Mzee Mwanakijiji,
Kanumba was more popular than Dr. Ulimboka, the suspect has been arrested. 'Leave the if and only if' outside this case let the professionals do their jobs unless you have solved the problem and you have all the answers then you should go forward and name and shame.
Otherswise it is a Legacy of Ashes at Work and dont be surprised that you yes You may be a part of it!
For some reason nasikia harufu ya kikundi ndani ya serikali kutafuta sifa. Kwamba Mwenyekiti wa National Security Council alionesha kukerwa na madaktari katika kikao cha Usalama wa Taifa cha kila wiki pale Ikulu, watu wawili kwa majina ya Mkurugenzi wa TISS na IGP wakatoka kwenye kikao wakiwa na ari ya kufanya kitu kumfurahisha Mwenyekiti.
Kwa hiyo hii itakuwa njama ya Mkurugenzi wa TISS na IGP, ambao ni miongoni mwa watu wanne muhimu katika Security Council ya taifa, lengo lilikuwa kumfurahisha Mwenyekiti.
Kwa hiyo patakuwa na ukweli kwamba Kikwete hakumtuma mtu, bali "mtu huyo" (Mkurugenzi wa TISS na IGP) kamfanyizia kijana huyu Ulimboka kumfurahisha Kikwete bila kutumwa. Wanatafuta kusifiwa yaani. Hii ni mbinu ya KGB ya Urusi ya Zamani na vitaasisi vya kijasusi vya Mataifa mengine ya Eastern Europe ambako watanzania wengi katika Security apparatus walisoma miaka ya nyuma na pengine hadi leo. Lengo halikuwa kuuwa, bali ku-instill fear. Tunahitaji kumuomba Mungu zaidi, kila mmoja wetu kwa namna anavyomjua Mungu, aweke watu katika Serikali wenye hekima zaidi watumie njia bora zaidi za kukablili upinzani badala ya hizi njia za Kisovieti na Bulgaria.
Najiuliza sana kwanini waogope hivyo upinzani mpaka ku-resort kwenye hii very inferior and old style technics? Kwanini wasikubali kubadilika na kutumia watu ambao kwa capacities zao wataisaidia serikali kutatua matatizo ambayo ukiyachunguza sana ni ya kujitakia zaidi kwakulinda maslahi ya individuals badala ya kitaasisi na ki-nchi?
Sometimes you wonder hivi kweli Watts hakusema ukweli kuhusu sisi weusi? Hii fear of unknown hii hawa watawala wasipo angalia psychology zao itawa cost sana kwani dhambi moja huleta dhambi nyingine muhusika akidhani ataifunika kumbe ndiyo hivyo inampeleka kwenye mshahara wa dhambi (mauti).
Niwaambieni tu hao wahusika there is no way watakwepa changes maana kila watakalo jaribu kukikimbilia kitawamaliza zaidi badala ya kuwajenga; mtaumiza viumbe wa Mungu bure the power hand is changed. Its more of a spirit and not carnal ways. The only safe ways ni kukubali na kubadilika kuruhusu haki itawale! Hii move iko very well articulated in such a way kwamba no one ana weza enda kinyume na Tanzania njema kuzaliwa; yes I said it one more time!
Synthesizer, if the plot against the emperor fails, what normally happen to the plotters? Maana kufanya kitu kama hicho bila maagizo, it is a serious breach of rules of engagement and conduct!
Five days later no one has been arrested for criminal assault and attempted murder of Dr. Ulimboka Stephen..................... . let take some possible suspects and their motives and see if they could have done it.
......................
d. There is a need to reform TISS and the parliament should do its duty to do so. The overhaul of TISS is long overdue; now we have agents going rogue; we can not have and must not have an intelligence service that is politicized and without control of its agents.
dicial.
On the other hand, if its not "them" then who did it? It can't take a week for anybody to be arrested for the crime. It is shameful that it now entering almost a week for as it is well known the first 48 hours for any crimes are the most crucial moment to solve it. Now it is past 72 hours!!
MMM
Mzee Mwanakijiji, Habari za leo, kwa wale wote Great 'Thinkers' and Singers bila kuwasahau sinkers!, Mimi naomba nichokoze fikra zako tu kidogo! Mimi binafsi suala kama hili kwa kuwa lipo mikononi mwa Polisi na Mahakama tuwaachie Professionals wafanye kazi yao yes! Professionals yaani Polisi, Usalama wa Taifa, Mahakama itakapowafikia, unless hauna kabisa imani na mfumo tulionao nchini, hapo unakuwa huna la kufanya bali kuchaguwa nchi nyingine ya kwenda kuisha wakati hii tuliyonayo inaboresha miundo yake. Kwani Wachina husema Aliyemuoa Mama ndiye Baba, hata kama humpendi ndiya baba yako huyo lazima umuheshimu hata akiwa tahira!
kwanza naomba kuweka angalizo dogo tu! Ugomvi wa chatu na mamba waamulia wanini? ndiyo maana katika ujumbe wangu mwingine nimesema waachie professionals wafanye kazi zao.
Nadhani kwa kazi za Kipolisi kawaida everyone is a suspect unless proved otherwise! Waliohusika naamini kama hivyo vyombo tulivyonavyo vinafanya kazi vizuri vitawapata tu!
Sasa naomba tuingie kwenye scenario yako ya post yako hapo juu ya 'if or if or if and only if' naomba tukoke nje ya boksi na tuanze kulitazama hili suala ki-novel novel, Yes kwa 'if, if,,,, and only if'
- Tuchukulie kuwa kuna NGO (s), au Taasisi yeyote ambayo ni cover ya Serikali au kundi X, ambayo ina mawasiliano na Ubalozi wa nchi U,V,W. ambao wana Case officers and Field Officers na wamepenya na kufanya shughuli zao ndani ya Tanzania. Lengo lao ni kuchochea Vurugu na kuifanya Tanzania isiwe nchi ya amani kama ilivyo, iliwaweze kupata manufaa aidha ya kiuchumi au Kisiasa kwa kupita kundi lao ambalo wanalisaidia! Kumbuka kuwa hapa tupo kwenye 'ifs' huu wote ni utunzi tu siyo ukweli.
- Hizo nchi kwa kupitia NGOs, Case officers, and Stations Chiefs and Field Officers wao, wamefanikiwa kupenya kwenye Media, NGOs, na hata Vyama vya Siasa! Yes vyama vya Siasa $%^$^&&W%(**%^, ambao wanataka kuchochea vurugu ili washike dora kwa gharama yeyote!
- Je unatashangaa kuona NGO au NGOs kuhakikisha kuwa wanahamasisha vurugu ili waendelee kupata fedha kutuka kwa Case Officers wao? nadhani tuliwahi kushuhudia NGOs zinahamasihs maandamano katika baadhi ya nchi, kzishinikiza serikali zilizopo madarakani, kwa Tanzania sijuwi kama imwkwisha tokea, lakini sitashangaa kama hii scenario ya 'if and only if' ikawa inafanya kazi pia.
- Sasa Turudi kwenye issue ya Dr. Ulimboka, Je nini role ya NGOs na vikundi vya haki za binadamu, je ni kutetea maslahi na haki ya Watanzania kupata tiba, au kuchochea Madaktari wagome ikiwa pamoja na wao kuwa ndiyo wa Kwanza alfajiri kutambua kuwa Dr. Ulimboka wamemlimboka na yupo Mabwepande, kwa kweli namuonea huruma na Mungu amsaidie apone haraka, lakini pia nawaonea huruma Watanzania wengine wanaokufa kwa kukosa tiba.
- Hivyo kwa kutumia tathmini yako ya if,if,if and only if tuwaachie Professionals wafenye kazi zao, inawezekana hata waliokimbilia kujifanya wanamuokoa ndiyo wao walimlimboka ili wanendelee kupata misaada, tusije tukawabebesha watu dhambi zisizo zao! kama ambavyo mimi nimejaribu kufanya hapa kwa kujifanya Great Thinker, kumbe mimi ni singer tu.
- Tuwaache Polisi na wahusika wengine watuletee majibu. Umetaja masaa 72 tangu kesi, Je huko Marekani kesi ya JFK majibu yalikwisha toka?
kwanza naomba kuweka angalizo dogo tu! Ugomvi wa chatu na mamba waamulia wanini? ndiyo maana katika ujumbe wangu mwingine nimesema waachie professionals wafanye kazi zao.
Waliompa kazi ya kugoma ndio waliomteka. Nadhani wamegombana wenyewe kwa wenyewe.
Songambele nimekuwa nikifuatilia sana na kwa undani sana about CI za wenzetu katika nchi zilizoendelea, Songambele hata Tanzania hakuna crime investigation kabisa wao kazi nikuunda jopo tu ambalo je utakubaliana na mimi hata madactari wameshindwa kutoa sababu ya kifo cha kanumba ambapo under CI bases haitakiwa yule mdogo wake kanumba kupeta mtaani nakuwahi kumiliki kampuni ya kanumba unajua under CI Hata watu kama Ray hatakiwa kuwa mtaani,
Unajua kuwa under CI hata alikiba aliyempeleka lulu BEACH HAPASWI KUWA MTAAN because they all lie under the police line of investigation MKUU TZ WANGEKUWA WANAFANYA CI ISINGEKUWA KAZI KUMPATA ALIYEMTEKA AS U HAVE SAID each crime scene has its own evidence LAZIMA kama ni msangi ameMTEKAa ameacha evidence pale tu alipomshika yaani nilazima aache evidence kwenye mwili wa ulimboka kumshika tu wakati wanamtupa ,kitambaa walichomfunga evedence tosha mkuu.mimi hainingii akilini wangefanya DNA TEST tayari msangi is a first suspect.
Ila hatuko that advanced ,nimekuwa nikiangalia sana CI ,rafiki aliyekuwa nae ni firt suspect mawasilianO ya simu yake ni 1st evidence wacha bwana ,natamani wakoloni warudi tena tufungwe minyororo tuchapwe kweli akili zetu zikae sawa maana Tanzania tunaishi ndani ya majeneza ya CCM,NA HATUJUI KINACHOENDELEA.
USWAZI HUWA TUNASEMA KUJIKOSHA ISINGEFAA MKUU WA NCHI KUZUNGUMZIA HILI SUALA AMBALO LIKO UNDER POLICE LINE KWANINI NASEMA HIVI HATA KJ LIE UNDER THE POLICE LINE OF INVESTIGATION IS AMONG THE SUSPECT OF THE CRIME.
I said at the very onset that I was profiling - trying to make inference on the nature of the culprit based on available facts. It is a forensic investigation technique. That is different from relying on intuition.
I am a "he" by the way.
Mkuu wangu nitamjibia Mwanakijiji ktk hili..Hizi habari za If na If sidhani kama zina uzito ktk hoja ya Mwanakijiji ambaye sijui kwa makusudi kabisa amekosa kusema maneno ya ULIMBOKA mwenyewe wakati akiwa hospital..Kuna hili moja muhimu sana.Mzee Mwanakijiji, Habari za leo, kwa wale wote Great 'Thinkers' and Singers bila kuwasahau sinkers!, Mimi naomba nichokoze fikra zako tu kidogo! Mimi binafsi suala kama hili kwa kuwa lipo mikononi mwa Polisi na Mahakama tuwaachie Professionals wafanye kazi yao yes! Professionals yaani Polisi, Usalama wa Taifa, Mahakama itakapowafikia, unless hauna kabisa imani na mfumo tulionao nchini, hapo unakuwa huna la kufanya bali kuchaguwa nchi nyingine ya kwenda kuisha wakati hii tuliyonayo inaboresha miundo yake. Kwani Wachina husema Aliyemuoa Mama ndiye Baba, hata kama humpendi ndiya baba yako huyo lazima umuheshimu hata akiwa tahira!
kwanza naomba kuweka angalizo dogo tu! Ugomvi wa chatu na mamba waamulia wanini? ndiyo maana katika ujumbe wangu mwingine nimesema waachie professionals wafanye kazi zao.
Nadhani kwa kazi za Kipolisi kawaida everyone is a suspect unless proved otherwise! Waliohusika naamini kama hivyo vyombo tulivyonavyo vinafanya kazi vizuri vitawapata tu!
Sasa naomba tuingie kwenye scenario yako ya post yako hapo juu ya 'if or if or if and only if' naomba tukoke nje ya boksi na tuanze kulitazama hili suala ki-novel novel, Yes kwa 'if, if,,,, and only if'
- Tuchukulie kuwa kuna NGO (s), au Taasisi yeyote ambayo ni cover ya Serikali au kundi X, ambayo ina mawasiliano na Ubalozi wa nchi U,V,W. ambao wana Case officers and Field Officers na wamepenya na kufanya shughuli zao ndani ya Tanzania. Lengo lao ni kuchochea Vurugu na kuifanya Tanzania isiwe nchi ya amani kama ilivyo, iliwaweze kupata manufaa aidha ya kiuchumi au Kisiasa kwa kupita kundi lao ambalo wanalisaidia! Kumbuka kuwa hapa tupo kwenye 'ifs' huu wote ni utunzi tu siyo ukweli.
- Hizo nchi kwa kupitia NGOs, Case officers, and Stations Chiefs and Field Officers wao, wamefanikiwa kupenya kwenye Media, NGOs, na hata Vyama vya Siasa! Yes vyama vya Siasa $%^$^&&W%(**%^, ambao wanataka kuchochea vurugu ili washike dora kwa gharama yeyote!
- Je unatashangaa kuona NGO au NGOs kuhakikisha kuwa wanahamasisha vurugu ili waendelee kupata fedha kutuka kwa Case Officers wao? nadhani tuliwahi kushuhudia NGOs zinahamasihs maandamano katika baadhi ya nchi, kzishinikiza serikali zilizopo madarakani, kwa Tanzania sijuwi kama imwkwisha tokea, lakini sitashangaa kama hii scenario ya 'if and only if' ikawa inafanya kazi pia.
- Sasa Turudi kwenye issue ya Dr. Ulimboka, Je nini role ya NGOs na vikundi vya haki za binadamu, je ni kutetea maslahi na haki ya Watanzania kupata tiba, au kuchochea Madaktari wagome ikiwa pamoja na wao kuwa ndiyo wa Kwanza alfajiri kutambua kuwa Dr. Ulimboka wamemlimboka na yupo Mabwepande, kwa kweli namuonea huruma na Mungu amsaidie apone haraka, lakini pia nawaonea huruma Watanzania wengine wanaokufa kwa kukosa tiba.
- Hivyo kwa kutumia tathmini yako ya if,if,if and only if tuwaachie Professionals wafenye kazi zao, inawezekana hata waliokimbilia kujifanya wanamuokoa ndiyo wao walimlimboka ili wanendelee kupata misaada, tusije tukawabebesha watu dhambi zisizo zao! kama ambavyo mimi nimejaribu kufanya hapa kwa kujifanya Great Thinker, kumbe mimi ni singer tu.
- Tuwaache Polisi na wahusika wengine watuletee majibu. Umetaja masaa 72 tangu kesi, Je huko Marekani kesi ya JFK majibu yalikwisha toka?
Mwanakijiji
who benefited the most? The Government or opposition? If you dare to talk the truth say something
Chama
Gongo la Mboto DSM