Assault on Dr. Ulimboka: Who Did It?


That is why I said don`t trust the politicians whether they are from CCM or Chadema; anybody can do such an act for the sake of politcs; does the Government benefited with Dr. Ulimboka saga? The only thing I refused is to have a shallow mind; we need to look on both ends it might the Government agents or there is possibility some crooks from Chadema are behind it; within Chadema top brass you have majambazi by professional who turned to be politicians, I don`t need to mention their names but we all know their past; some of them they have blood on their hands; thanks to our corrupted system some of them are out speaking on the mikutano blaming the Government while is the same system worked for them.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mwanakijiji ukumbuke pia kwamba kukamata wahusika wakuu na uhalifu huu utatokana na maelezo atakayetoa Dr ulimboka mwenyewe hasa katika maswala ya simu namba zilizoyumika kuwasiliana na huyo jamaa anedai katoka Ikulu ili ampatie habari na yeye kuwasiliana na ho waliomteka kama anavyoeleza Ulimboka.Lakini kwa wakati huu Ulimboka hayuko katika nafasi nzuri ya kutoa ushirikiano kwani bado anapigania uhai wake.
Muhimu ni kuomba apate nafuu na aje saidia kutoa maelezo yatakayopelekea kukamata wahalifu. Vyombo husika na wengine nje ya vyombo hivyo wako katika kutakfuta ukweli.Tsikamatane uchawi kwa sasa.
 
Mwanakijiji kuwa wananchni wana amini nani kafanya halina shaka, zaidi ya asilimia 90% wana amini ni Sirikali.
Kama serikali wanajuwa kuwa sio wao ni wajibu wao sasa kujisafisha kwa kufanya uchunguzi huru ambao lazima usimamiwe na vyombo vya nje labda itarudisha imani ya Umma juu ya hivi vyomo vyetu. Lakini kama wanaendelea kuweka pamba sikioni na kujichunguza hakuna Nusu mtu atakayekuwa na akili timamu ya kuielewa taarifa yao ya uchunguzi hata kama wakiisomea kanisani wala Msikini.
Hypothesis ya Gaijin kuhusu vyama vya siasa kwa lengo la kuichafua Serikali, haiwezekani kabisa kwa sababu hapo ndipo CCM ingezoa umaarufu mara dufu na kupata jukwaa la kujijenga. CCM ndio inayomiliki Dola kama ingekuwa hivyo hadi sasa wangekuwa wameshawatia hatiani wahusika ili kujisafisha mara moja, pia Mkuu Gaijin kumbuka kuwa Dkt aliitwa na Mtumishi wa Ikulu na hapa ndipo kwenye kitanzi, Jibu lilobaki ni lile la Kikwete kuwa yeye hajawatuma na ndio maana hata walipo mkataa hasiwev kwenye kamati yeye binafsi alisema aachwe.
Sasa Kama CCM na Serikali haitakikujisafisha basi Kikwete ajisafishe mwenye alete uchunguzi huru ilitumjuealiyewatuma hao Majasusi wa Serikali kumdhuru Ulimboka.
 
Waliompa kazi ya kugoma ndio waliomteka. Nadhani wamegombana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kimsingi alichosema ni kuwa yeye binafsi ha-rule out yoyote yule kuhusika, hata serikali; sio ni serikali

Kiswahili kinatoa maana tofauti mno unapotumia neno lakini kama ulivyofanya wewe. Ni kupindisha maneno ya Rais,

hajasema hivyo.


Gaijin, POLE SANA KAMA HUKUSOMA FASIHI ULIKOSA SOMO MUHIMU SANA MAISHANI.
 
Kwa nini huyo Msangi hajawa-arrested wakati ametajwa?
 
Lakini Mwanakijijii, you know how our government operates so you, me , or anybody else for that matter should not be surprised at all. For the longest time it has always been "tume-happy".

Mwanakijiji has been away for too long. The reason why five days later none has even hinted about bringing those who did it to justice, is because they are not interested in doing so, and who sent them can not easily be brought to justice. NI kama issue ya EPA, ukiwakamata nchi haitawaliki. So who ever dares to do that, he will die. The best shot they have to bring "justice" is to kill those who were sent to kill them. By doing so, first there will be no evidence, and second, others who will be sent to do the same job will be afraid that if they do not accomplish the mission, they will also be killed.
 

Samahani haiwezekani aliyefanya hivyo alikusudia kuchochea mgomo wa madaktari ili vurugu iwe kubwa kwa kuwaalika wadau wengine kama. wanaharakati wa haki za binadamu na wananchi kwa ujumla? Kwani kuanzia kukamatwa kwake sehemu ya wazi......kuachwa kwa watu wengine aliokuwa nao.....kuachwa akiwa hai......hii inaniletea utata sana? Nauliza tu wadau. ....aulizae anataka kujua
 
Kikwete kasema kam ni Serikali inahusika yeye personaly hajamtuma mtu kufanya hivyo kwa hiyo inaonesha kuna mtu mwingine ndani ya serikali ila sio yeye Mwisho watataja majina kabisa



Kumbe huwa anawatuma kufanyia watu unyama kama huu!
 
I think the best thing for me is to repeat this in Kiswahili; kumbuka kitu kimoja; serikali na huenda hata Ikulu, haihusiki na hili kwa kusema nendeni mkamteke Ulimboka...

Synthesizer, if the plot against the emperor fails, what normally happen to the plotters? Maana kufanya kitu kama hicho bila maagizo, it is a serious breach of rules of engagement and conduct!
 
Ni serikali,kwanza walitaka kutumia mbinu hiyo kumnyong'onyeza pia kutisha madaktari wengine kutoka kwenye mshikamano,,pili serikali kwa upogo wake imekuwa ikiamini kuna mtu/watu nyuma ya mgomo wa wataalam hao. Hospitali TZ hazina madawa,vifaa,samani madaktari wamebaki kuviza utaalam wao tu na kuonekana wezi wa dawa kumbe ni serikali ndo haipeleki
 
For some reason nasikia harufu ya kikundi ndani ya serikali kutafuta sifa. Kwamba Mwenyekiti wa National Security Council alionesha kukerwa na madaktari katika kikao cha Usalama wa Taifa cha kila wiki pale Ikulu, watu wawili kwa majina ya Mkurugenzi wa TISS na IGP wakatoka kwenye kikao wakiwa na ari ya kufanya kitu kumfurahisha Mwenyekiti.
Kwa hiyo hii itakuwa njama ya Mkurugenzi wa TISS na IGP, ambao ni miongoni mwa watu wanne muhimu katika Security Council ya taifa, lengo lilikuwa kumfurahisha Mwenyekiti.

Kwa hiyo patakuwa na ukweli kwamba Kikwete hakumtuma mtu, bali "mtu huyo" (Mkurugenzi wa TISS na IGP) kamfanyizia kijana huyu Ulimboka kumfurahisha Kikwete bila kutumwa. Wanatafuta kusifiwa yaani. Hii ni mbinu ya KGB ya Urusi ya Zamani na vitaasisi vya kijasusi vya Mataifa mengine ya Eastern Europe ambako watanzania wengi katika Security apparatus walisoma miaka ya nyuma na pengine hadi leo. Lengo halikuwa kuuwa, bali ku-instill fear. Tunahitaji kumuomba Mungu zaidi, kila mmoja wetu kwa namna anavyomjua Mungu, aweke watu katika Serikali wenye hekima zaidi watumie njia bora zaidi za kukablili upinzani badala ya hizi njia za Kisovieti na Bulgaria.
 

Mzee Mwanakijiji,

Kanumba was more popular than Dr. Ulimboka, the suspect has been arrested. 'Leave the if and only if' outside this case let the professionals do their jobs unless you have solved the problem and you have all the answers then you should go forward and name and shame.

Otherswise it is a Legacy of Ashes at Work and dont be surprised that you yes You may be a part of it!
 
"Kama kuna mtu wa Serikali kafanya, itakuwa kwa sababu zake binafsi na siyo za Serikali au kwa kutumwa na Serikali".Rais Jakaya Kikwete.
Kwa maneno haya ya Rais ni dhahiri kuwa govt agents wamehusika kumdhuru dr. Ulimboka ila Rais ameongea kidiplomasia kwa lengo la kutoiweka uchi serikali yake. Yawezekana Rais hakuwatuma lakini govt agents hapa wamehusika kwa 100% na sasa wanatafuta jinsi ya kujitetea.


 

Huyu mnyama aitwaye government,ambaye Mh.PM,M.K.Pinda ndiye kiongozi wa shughuli zake bungeni daima huwa ni mtakatifu,EPA hahusiki,RADAR hahusiki,Mauaji ya Imran Kombe Hahusiki na ufisadi wote tuujuo na tusio ujua hahusiki,that being the case, Mr President kusema kuwa Serikali haihusiki na mateso aliyopewa Dr.Uli sio habari kwa kuwa ni kawaida ya Serikali ya TZ kutoshiriki Uovu wa aina yoyote. Iko siku na sasa ipo ambapo ukweli wote utajawekwa peupe.Manunu gha mapuli nkisu iki.
 

MMM...

Samahani na ma GT humu ndani,wapi Serikali inaanzia na wapi inaishia ? ni nani ambaye akitenda jambo jema au baya hutenda kwa niaba ya serikali ? na ni nani akitenda jambo baya au jema anatenda kwa kwa niaba yake binafsi na sio serikali ? kwa kuwa mimi sio GT najua kuwa kama IGP akitoa agizo jema au baya hilo agizo ni mali ya serikali, au Mkuu wa TISS akiamuru operation njema au mbaya ni kwa niaba ya serikali na matendo ya wote ni mali halali ya MH.Rais, Kwa mtazamo wa kawaida tu kwa sisi ambao sio GT Dr.Ulimboka hakuwa mtu huru ndani ya nchi yake tangu kuanza kwa mgogoro wa madaktari na serikali,ni wazi kuwa serikali ilikuwa ikifuatilia nyendo zake wakati wote kiasi kuwa isingekuwa rahisi kwa taasisi isiyokuwa ya serikali kuweza kumteka bila kujulikana,kwa kitendo cha watu wasiojulikana kumteka kirahisi hadi kumfanyia unyama wao bila kujulikana hapo inabidi sisi ambao sio GT tuhitimishe kuwa hao watu ni wale wale mawakala wa sirikali.
Kama mkuu wa nchi hajui na hakuagiza na hajapendezwa na unyama huu,SIMPLE. IGP,TISS Boss OUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…