Assad akiwatembelea wanajeshi wake

Doh kweli amejitoa muhanga..maana waarabu hawatabiriki..kujilipua ni saka sifuri..na hajavaa ata bulet proof
 
mkuu, hiyo sio nguvu ya iran, ni nguvu ya russia. hata hivyo, kushindwa kuong'oka hapo hivi assad atajihesabia ni mshindi au mshindwa wakati nchi yake imekuwa majibu kabisa kiasi kile? amejenga nchi miaka mingi tangu mababu na mababu zake karne nyingi wamejenga nchi, ikaja kusambaratishwa kama vile, hata ukiwa rais utakuwa na raha gani? utaijenga na kuirudisha vile tena kwa miaka mingapi?
 
Hv hela kiasi ni sawa na uhai wa mwanajeshi? Nafikiri hujawatendea haki
 
Sasa aleppo ishachukuliwa na assad bado idlib

nasubiria mvua za bunker buster, cluster bombs, phosphorus bomb, napalm, precised guided missile zote zianze kunyesha palymira usiku na mchana kama gharika la siku za nuhu
battle ya idlib itakuwa na umwagikaji damu kuliko allepo ingawa naamin serikali ina nafas kubwa sana ya kushnda kama ilivyofanya allepo......ila ingawa stability ya nchi ile haitotengemaa leo wal kesho syria ina safar ndef sana ya kwenda
 
Kilichonifurahisha zaidi katika hii Vita ni kuionyesha Marekani na wauaji wenzie kwamba sio kila uamuzi wao unafanya kazi na kufanikiwa...asante Putin asante Iran...kuzuia mauaji mengine mabaya kama yale ya Iraq..libya na afghanstan..
 
Lakini kumbuka Assad ni Alawiti na sio shia wala sunni.hapa sema Iran ni mshirika mkubwa Wa Assad
 
Kama Mbowe ni dikteta duniani lkn bado anapendwa ufipa, lzm na Assad apendwe
 
Hata dikteta huwa Na watu wanaompenda Na wananufaika Na huo utawala wake usidanganyinke Na drama za kula Na wajeshi anajenga motivations ya vita dhidi ya wapinzani wake tuu.
 
mkuu iran hakua na nguvu yeyote, kuanzia vita inaanza wao na hezbola walishaingia kumsapot asad ila walichokipata wanakijua wenyewe. aliyebadilisha upepo hapo mkuu ni mrusi. isingekua mrusi hapo iran alikua hana chochote. na hapo urusi alisaidia vitu vikuu viwili intelijinsia na madege yake yale ndo yaliyowasambaratisha jamaa yeye kakaa mwaka tu watu wamesalimu amri
 
Hata Kim jong un ikiangalia kimakengeza unawezasema anapendwa sana hizo video ni for publicity!
mpaa lini mtakuwa watumwa wa marekan na washirika wake?,akifanya hivo rais wa marekan au kiongoz wa NATO mnapongeza ila akifanya mu-arab au mwingne asiyekuwa upande/kibalaka wa US&Nato mnasema ni imetengenezwa for publicity!!?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…