mkuu, hiyo sio nguvu ya iran, ni nguvu ya russia. hata hivyo, kushindwa kuong'oka hapo hivi assad atajihesabia ni mshindi au mshindwa wakati nchi yake imekuwa majibu kabisa kiasi kile? amejenga nchi miaka mingi tangu mababu na mababu zake karne nyingi wamejenga nchi, ikaja kusambaratishwa kama vile, hata ukiwa rais utakuwa na raha gani? utaijenga na kuirudisha vile tena kwa miaka mingapi?Kushindwa kumuondoa madarakani Assad hadi leo kuna dhihirisha nguvu ya Iran katika ukanda huo.. Nchi za Magharibi ziliwaondoa kirahisi Viongozi wa Sunni katika nchi zao kama Gaddafi, Mubarak, Rais wa Tunisia, Saddam lakini washia kwa umoja wao chini ya nguvu ya Iran walikataa Assad kuondoka hadi leo..mbali ya America kupenyeza ISSIS
Unayemuona ni dikteta wengine wanamuona ni mkomboziHata Kim jong un ikiangalia kimakengeza unawezasema anapendwa sana hizo video ni for publicity!
Hv hela kiasi ni sawa na uhai wa mwanajeshi? Nafikiri hujawatendea hakiMimi kuna video nimetizama watu wanamlaani Assad vibaya sana mpaka vitoto vinamlaani
Mkuu siku zote jeshi ni tiifu kwa amiri jeshi mkuu sababu wao hulipwa mshahara na rais ,huwezi kusema Assad anapendwa kisa jeshi linamheshimu.
Na waovu siku zote hupendwa na jeshi sabb ya $$
Chukua sample ya wananchi
Syria asilimia 80 wanamchukia Assad tena hv ss chuki dhidi ya Assad ndio imezidi wanaamini yeye ndiye ameua watu wengi kwa drones zake
Na natabiri japo urusi kamsaidia sana ila bado rising zitakuwepo nyingi.
battle ya idlib itakuwa na umwagikaji damu kuliko allepo ingawa naamin serikali ina nafas kubwa sana ya kushnda kama ilivyofanya allepo......ila ingawa stability ya nchi ile haitotengemaa leo wal kesho syria ina safar ndef sana ya kwendaSasa aleppo ishachukuliwa na assad bado idlib
nasubiria mvua za bunker buster, cluster bombs, phosphorus bomb, napalm, precised guided missile zote zianze kunyesha palymira usiku na mchana kama gharika la siku za nuhu
Lakini kumbuka Assad ni Alawiti na sio shia wala sunni.hapa sema Iran ni mshirika mkubwa Wa AssadKushindwa kumuondoa madarakani Assad hadi leo kuna dhihirisha nguvu ya Iran katika ukanda huo.. Nchi za Magharibi ziliwaondoa kirahisi Viongozi wa Sunni katika nchi zao kama Gaddafi, Mubarak, Rais wa Tunisia, Saddam lakini washia kwa umoja wao chini ya nguvu ya Iran walikataa Assad kuondoka hadi leo..mbali ya America kupenyeza ISSIS
mkuu iran hakua na nguvu yeyote, kuanzia vita inaanza wao na hezbola walishaingia kumsapot asad ila walichokipata wanakijua wenyewe. aliyebadilisha upepo hapo mkuu ni mrusi. isingekua mrusi hapo iran alikua hana chochote. na hapo urusi alisaidia vitu vikuu viwili intelijinsia na madege yake yale ndo yaliyowasambaratisha jamaa yeye kakaa mwaka tu watu wamesalimu amriKushindwa kumuondoa madarakani Assad hadi leo kuna dhihirisha nguvu ya Iran katika ukanda huo.. Nchi za Magharibi ziliwaondoa kirahisi Viongozi wa Sunni katika nchi zao kama Gaddafi, Mubarak, Rais wa Tunisia, Saddam lakini washia kwa umoja wao chini ya nguvu ya Iran walikataa Assad kuondoka hadi leo..mbali ya America kupenyeza ISSIS
Waalykum msalamu,
Tupo mkuu MALCOM LUMUMBA
Sema mihangaiko tuu yanatuweka bize
mpaa lini mtakuwa watumwa wa marekan na washirika wake?,akifanya hivo rais wa marekan au kiongoz wa NATO mnapongeza ila akifanya mu-arab au mwingne asiyekuwa upande/kibalaka wa US&Nato mnasema ni imetengenezwa for publicity!!?????Hata Kim jong un ikiangalia kimakengeza unawezasema anapendwa sana hizo video ni for publicity!