Assad akiwatembelea wanajeshi wake

Assad is the monster and is gotta a balls size of Jupiter,defeated those barbarians evils and the so call it secrets society
 
Jeshi la Assad limesambaratika siku nyingi , hao mapandikizi ya Iran na Urusi.
lilisambaratika na nani? sio kila unachosoma kutoka news outlet za magharibi ni sahihi, assad yuko strong na anapendwa sana hakuna kiongoz yoyote duniani anayeweza kusurvive mapinduz kama hapendwi na watu wake
 
Mimi sijaelewa hoja yake kabisa,
Tangu lini Warusi na Wairani wamekuwa waarabu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu naona unawachana kivitendo kabisa....

Big up
 
lilisambaratika na nani? sio kila unachosoma kutoka news outlet za magharibi ni sahihi, assad yuko strong na anapendwa sana hakuna kiongoz yoyote duniani anayeweza kusurvive mapinduz kama hapendwi na watu wake
Ni kweli mkuu, tena kama hapendwi leo hii Tungeshamsahau huyu Assad.
 
Sasa aleppo ishachukuliwa na assad bado idlib

nasubiria mvua za bunker buster, cluster bombs, phosphorus bomb, napalm, precised guided missile zote zianze kunyesha palymira usiku na mchana kama gharika la siku za nuhu
Yani huo mchanganyiko nakwambia wasanda mapema mno
 
lilisambaratika na nani? sio kila unachosoma kutoka news outlet za magharibi ni sahihi, assad yuko strong na anapendwa sana hakuna kiongoz yoyote duniani anayeweza kusurvive mapinduz kama hapendwi na watu wake
Iran,Hezbollah na urusi awashukuru
 
Mkuu kwani mpaka sasa kinachoendelea sio tetemeko au ni nini?
 
Mimi amenifurahisha tu kuwagomea Marekani na washirika wake kwenye hili sakata! Bahati yao kwa Gadaffi; Putin alichelewa kidogo tu kumwunga mkono naamini angekuwapo mpaka leo hii!
Kama sijakosea wakati ule hakuwa madarakani.. Alikuwepo Rafiki yake....Putin karudi madarakani baada ya kuwa hao wendawazimu wa magharibi wamemuondoa..Qadafi
 
Ni nani anaweza kuthibitisha kuwa Assad anachukiwa na Wasyria?

Nafikiri ni apropaganda tu kama ilivyokuwa kwa akina Ghadaffi

Wamagharibi waombe Mungu sana Putin wa Russia asiamue fully kuwa upande wa Assad

Dunia itakuwa ndogo sana kwa muda mfupi.
 
Hii Hii video ni baab kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…