MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,765
- 71,801
Hata Kim jong un ikiangalia kimakengeza unawezasema anapendwa sana hizo video ni for publicity!
Jeshi la Assad limesambaratika siku nyingi , hao mapandikizi ya Iran na Urusi.
Hakuna mtu anaechukuwa wala anaependwa,
Ninachojua ni kwamba wapo wanakupenda na wapo wanakuchukia sema asilimia zinatofautiana kuchukiwa na kupendwa, endapo wanaokuchukia wakiwa 50.5% na wanao kupenda wakiwa 49.5% basi watu husema anachukuwa.
Mimi kuna video nimetizama watu wanamlaani Assad vibaya sana mpaka vitoto vinamlaani
Mkuu siku zote jeshi ni tiifu kwa amiri jeshi mkuu sababu wao hulipwa mshahara na rais ,huwezi kusema Assad anapendwa kisa jeshi linamheshimu.
Na waovu siku zote hupendwa na jeshi sabb ya $$
Chukua sample ya wananchi
Syria asilimia 80 wanamchukia Assad tena hv ss chuki dhidi ya Assad ndio imezidi wanaamini yeye ndiye ameua watu wengi kwa drones zake
Na natabiri japo urusi kamsaidia sana ila bado rising zitakuwepo nyingi.
Mimi pia kuna mkanda nimeangalia yaani Assad mpaka anabebwa na vitoto vya chekechea na vikagoma asiondoke!!Mimi kuna video nimetizama watu wanamlaani Assad vibaya sana mpaka vitoto vinamlaani
Mkuu siku zote jeshi ni tiifu kwa amiri jeshi mkuu sababu wao hulipwa mshahara na rais ,huwezi kusema Assad anapendwa kisa jeshi linamheshimu.
Na waovu siku zote hupendwa na jeshi sabb ya $$
Chukua sample ya wananchi
Syria asilimia 80 wanamchukia Assad tena hv ss chuki dhidi ya Assad ndio imezidi wanaamini yeye ndiye ameua watu wengi kwa drones zake
Na natabiri japo urusi kamsaidia sana ila bado rising zitakuwepo nyingi.
Unajua free Syrian army ni wa Syria wazawa kwanini wapo maalfu na maalfu wanamkataa Assad vitoto,vikongwe,vijanaMimi pia kuna mkanda nimeangalia yaani Assad mpaka anabebwa na vitoto vya chekechea na vikagoma asiondoke!!
Mimi amenifurahisha tu kuwagomea Marekani na washirika wake kwenye hili sakata! Bahati yao kwa Gadaffi; Putin alichelewa kidogo tu kumwunga mkono naamini angekuwapo mpaka leo hii!Unajua free Syrian army ni wa Syria wazawa kwanini wapo maalfu na maalfu wanamkataa Assad vitoto,vikongwe,vijana
Hakuna kitu cha namna hicho ,magorofa yote yaliyogeuka kuwa magofu ni sababu ya ndege za Assad na maalfu ya watu wamekufa kwa drones..watu wengi hawajaondoka allepo sabb ya waasi,sabb iliyowaondoa ni makombora,ndege za Assad
Kubali au kataa wa Syria wengi wana maumivu na grudge kwa Assad
Ukisikia kulishwa maneno na ukayameza ndio huko... Ww ni lini ulienda Syria na ukaona jeshi limesambaratika?Jeshi la Assad limesambaratika siku nyingi , hao mapandikizi ya Iran na Urusi.