Asprin tena

Asprin tena

Hii thread ni uchonganishi na uzandiki mkubwa. Umeletwa na mtu mwenye hila na chuki dhidi yangu na familia yangu

Naomba mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu Sakayo waupuuze.

Najipanga kumpeleka mahakamani mshana jr na kumdai fidia ya shilingi moja kama hataomba radhi ndani ya siku tatu.

Wajukuu zangu tafadhali zipuuzeni taarifa hizi na msiache kuja kwa babu yenu kukaguliwa kama ilivyo desturi na mila zetu.

Hahahahhahahahaaa looh, hivi kwanini huwa mnapelekaga mkono hapo kati? Eehehehehehehehehheheheeeee
 
Babu anakagua mara ngapi ngapi kwani?
Kama Ameshakukagua Basi kuna Sehemu "Hakuzifikia" hivyo ukaguzi Kwako Urudiwe...we Mfuate Pm mwambie Babu karibu Pm,halafu Utafurahi Mwenyewe.....
 
Kama Ameshakukagua Basi kuna Sehemu "Hakuzifikia" hivyo ukaguzi Kwako Urudiwe...we Mfuate Pm mwambie Babu karibu Pm,halafu Utafurahi Mwenyewe.....
Hakika ukiendelea hivi ntakuteua uwe msaidizi wangu kwenye hii kazi kuntu kabisa
 
Niko sirias babu nataka kujua, sikupimi, sikutegi walasikutanii. Huwa mnapelekaga mkono kwasababu gani?

Mi najua huwa mnapenda kuvuviwa mapepo yanayowazuia kufika kilimani mapema... si ndio?

Capture-2.jpg


upload_2018-2-26_17-1-1.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom