Asprin tena

Asprin tena

Hii thread ni uchonganishi na uzandiki mkubwa. Umeletwa na mtu mwenye hila na chuki dhidi yangu na familia yangu

Naomba mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu Sakayo waupuuze.

Najipanga kumpeleka mahakamani mshana jr na kumdai fidia ya shilingi moja kama hataomba radhi ndani ya siku tatu.

Wajukuu zangu tafadhali zipuuzeni taarifa hizi na msiache kuja kwa babu yenu kukaguliwa kama ilivyo desturi na mila zetu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] babu eti sh moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom