Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Hapana. Ni ukaguzi wa kawaida tu kwa wajukuu zanguMzee asprin anarina asali
Hapana. Ni ukaguzi wa kawaida tu kwa wajukuu zanguMzee asprin anarina asali
Naombea usiwe babu sea tu weweHapana. Ni ukaguzi wa kawaida tu kwa wajukuu zangu
Khaaaa[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 701453
Nimeumia sana aki mchepuko wanguHii thread ni uchonganishi na uzandiki mkubwa. Umeletwa na mtu mwenye hila na chuki dhidi yangu na familia yangu
Naomba mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu Sakayo waupuuze.
Najipanga kumpeleka mahakamani mshana jr na kumdai fidia ya shilingi moja kama hataomba radhi ndani ya siku tatu.
Wajukuu zangu tafadhali zipuuzeni taarifa hizi na msiache kuja kwa babu yenu kukaguliwa kama ilivyo desturi na mila zetu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hii thread ni uchonganishi na uzandiki mkubwa. Umeletwa na mtu mwenye hila na chuki dhidi yangu na familia yangu
Naomba mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu Sakayo waupuuze.
Najipanga kumpeleka mahakamani mshana jr na kumdai fidia ya shilingi moja kama hataomba radhi ndani ya siku tatu.
Wajukuu zangu tafadhali zipuuzeni taarifa hizi na msiache kuja kwa babu yenu kukaguliwa kama ilivyo desturi na mila zetu.
Babu bado anakumbukumbu [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 701453
Usiumie honey. Huyu mfanyakazi wa mochware anataka kutuharibia utatu wetu uliotukukaNimeumia sana aki mchepuko wangu
Mimi nakuamini sana mpenzi wangu... Wivu utanimaliza aki!!Usiumie honey. Huyu mfanyakazi wa mochware anataka kutuharibia utatu wetu uliotukuka
Bila wivu ntajuaje kama unanipenda? Najisikia amani nikikuona una wivu juu yanguMimi nakuamini sana mpenzi wangu... Wivu utanimaliza aki!!
Nakupenda sana babu!! Naomba uachane na huyo mchepuko kwa picha!! Naumia akiBila wivu ntajuaje kama unanipenda? Najisikia amani nikikuona una wivu juu yangu
Huyo si mchepuko. Ni mjukuu tu nlikuwa namkagua ili nipange kiwango cha mahari atakapotokea muoaji...Nakupenda sana babu!! Naomba uachane na huyo mchepuko kwa picha!! Naumia aki
KhaaaaHuyo si mchepuko. Ni mjukuu tu nlikuwa namkagua ili nipange kiwango cha mahari atakapotokea muoaji...
Tatizo mnanichanganya ujueSasa huyo uliyemwita ndo kiongozi wa kikosi cha uharibifu. Lazima atuharibie ukaguzi wetu
Babu anakagua mara ngapi ngapi kwani?Wewe Babu anakutafuta Akakukague Ujue....we.chezea Bahati yako...hebu Mkaribishe Pm kwanza Babu Asprin!