Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,448
- 25,591
Mubashars
Kabananishwa sehemu, nguo zimelowekwa atatokaje
nimezunguka kaunta 3 sasa sijampata hebu piga filimbiumwambie sasa wewe maana yupo kaunta ya huko uliko.
Aisee nimekumiss sana mzima weweKabananishwa sehemu, nguo zimelowekwa atatokaje
Achana nae, karibu huku.
Wewe tuma location nije au atumwe mtu.
Surprise ni nzuri pia lakini!Usiache kunitonya kabla....nipate kujiandaa.....
Nina nyota Mbaya sana na Surprise....zinageukaga na kurudi zilikotoka.
Rafiki huwa unazipiga ngumi?Nina nyota Mbaya sana na Surprise....zinageukaga na kurudi zilikotoka.
Teh teh ...ya ndani tuyaache ndani
Ubahili umeanza lini jiraniWewe tuma location nije au atumwe mtu.
Huyu mzee toka aingie ikulu.
Huku hakuna mabadiliko rudi nyumbani kumenoga mbuzi kila siku kama vile DecemberHuyu mzee toka aingie ikulu.
Imenichukua muda kukuelewa....Ushafika...nawe hata kauzi au sijakushika?