Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,735
hahaha..chizi weweImenichukua muda kukuelewa....
Kauzi hakakutoshi....
Nasokota katani hapa.
hahaha..chizi weweImenichukua muda kukuelewa....
Kauzi hakakutoshi....
Nasokota katani hapa.
muda sana bibi kashamchukua kwenda kumwimbia kale kawimboNimekumiss pia, mimi nipo nipo kama hivi. Umemwona babu mahali?
Ngoja nimtafute kaunta ya huku swahiba Kaizer umemwona babu Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe?Kabananishwa sehemu, nguo zimelowekwa atatokaje 😁
Nipo jana na leo. Niko imara kama makontena ya makonderNgoja nimtafute kaunta ya huku swahiba Kaizer umemwona babu Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuleta masihara kwenye ibadaAsprin ameshamezwa, Mtu kapata maumivi ya kichwa akachukua glasi ya maji akameza.
Utasubiri sana kijanaIf he doesn't switch to me please..!
EwaaaKweli mapenzi hayazeeki.
Naamini ulinilindia mali zangu...
Lazima nilinde maana natokwa na udenda hapa kwa ajili ya urithiNaamini ulinilindia mali zangu...
Hahahahahaa tatizo unachomezea mate kurithiLazima nilinde maana natokwa na udenda hapa kwa ajili ya urithi