Asprin akiwa na mwanae.

Asprin akiwa na mwanae.

hahahahahahahaaaaaaaa jamani
babu Asprin kapatikana leo no kwenda ban--dariii
 
Last edited by a moderator:
Kizee kikorofi sana hiki afadhali leo kimewezwa
Unamaanisha kibabu kipi?

Kumbe huyo ndio babu Asprin
Wamekuingiza chaka mpwa.....

Atanieleza huyu mtoto ni wa nani, watoto wa wake wenzangu wote nawajua na hatuna wa kubeba mgongoni.
Ish.... hata wewe unaingizwa chaka na hutu tutoto twa praimare za St. Mtakatifu??

Hahaha ndo huyohuyo!!!!!
Kadanganye watoto.....

HahHa hata kazini hajaenda zam yake
Ntakuchapa!!!

Unafunga mbeleko kwanza afu unamdumbukiza mwana huoni
Asprin
Alivyopatia muulize atakwambia.
Acha umbea....

Hahaha tobaa!! Bifu!!!
Ndicho uichotaka???

Zamu yake iwe mwezi kabisa
We dogo kaa kimya!!

Weee kawa mpole bibi kagoma hapo hata kwenye michepuko haendi
Thubutuuuu!!

Tangu tuanza kulea hajawahi beba mtoto, wa jirani ndio abebe mgongoni?

Kama ni limbwata leo litatoka.
Waambie mama..... Kongosho semaaaa..semaaaaaa usiogope semaaaaa..
Mimi ODM siogopi michepuko semaaaaaaa!!!

Kumbe ndo babu yuko hivyo?Hapa jamvini mjanjaaa kumbe nyumbani ni yaya!!!!hahahahaha
Kilichokuchekesha sasa hapo ni nini kama si umbea??

lazima bomu lilipuke
Naenda Arusha kukununulia mawili

hutu tubinti twa siku hizi hutuoni? Kina miss neddy, miss chagga, ICHANA, masai dada Heaven on Earth......lol
:cool2::couch2::couch2:

Tangu lini mnazaa na apetaiza?
Ask him yooooooooooo..... Igweeeeeee!!!

Ndo ishakuwa main course....lol
KIkombe alichonipa baba, sitakinywa??

maharage ni sehemu ya main course lakini yakiwa peke yake kamwe si lolote.

Bila mie, BADILI TABIA cacico hakuna main course hapo.
Na hili ndilo Neno la Mungu!!!!

Sredi Klozd!!!
 
Babu kazi kaiyona ndio shida ya kuoa vibinti anda 21 yaani...
 
asprin asprin asprin asprin asprin asprin kumbuka atakayeongeza ama kupunguza maneno ya kitabu cha Mungu atahukumiwa shauriro nimenawa mikono yangu mie
Unamaanisha kibabu kipi?

Wamekuingiza chaka mpwa.....

Ish.... hata wewe unaingizwa chaka na hutu tutoto twa praimare za St. Mtakatifu??

Kadanganye watoto.....

Ntakuchapa!!!

Acha umbea....

Ndicho uichotaka???

We dogo kaa kimya!!

Thubutuuuu!!

Waambie mama..... Kongosho semaaaa..semaaaaaa usiogope semaaaaa..
Mimi ODM siogopi michepuko semaaaaaaa!!!

Kilichokuchekesha sasa hapo ni nini kama si umbea??

Naenda Arusha kukununulia mawili

:cool2::couch2::couch2:

Ask him yooooooooooo..... Igweeeeeee!!!

KIkombe alichonipa baba, sitakinywa??

Na hili ndilo Neno la Mungu!!!!

Sredi Klozd!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom