Asprin akiwa na mwanae.

Asprin akiwa na mwanae.

hujui kama kuna mbeleko za kidigitali ?

dah>.ndo maana mitoto mingi haina akili.ukifanasisha nasisi tulio bebwa na mbeleko ya kanga,kufungwa nepii za kanga za mama zilizo choka wao wanatumia pimpers.bebiwoka yetu ya mbao kwa fundi seremara wao spcl hahaha
 
Hahaha sikuhizi kidigitali zaid full vibaiskel,mabegi ya watoto shurti mtoto ahemi midoli imepitwa na wakati sikuhizi tunacheza games kwenye simu na compyuta za baba zetuu!!
 
Kumbe ndo babu yuko hivyo?Hapa jamvini mjanjaaa kumbe nyumbani ni yaya!!!!hahahahaha
 
mtaani hawachelewi kumpa jina maarufu "bushoke"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom