Akina diamond, Mwijaku na kina Jux Wana hela nyingi aende wamsaidie hat vimilioni 10, Sisi akina Majumba Nani tunazitoa wapiHii video nimeona ikisambaa sana waungwana mwenye uwezekano wa kumsaidia huyu binti kuhusu tatizo la mwanae afanye jambo kwaajili yake
Mawasiliano yake haya 0722317449 KURUTHUMU ELIZABETH