Asprin akiwa na mwanae.

Nataka kuna siku nijaribu kumbeba mtoto angu kama hivi lol ila naogopa kumuangusha hivi nipeni tips basi
 
Huyo na Mwinjaku wa kipindi cha mahusiano CloudsTV nani mtata?
 
Atanieleza huyu mtoto ni wa nani, watoto wa wake wenzangu wote nawajua na hatuna wa kubeba mgongoni.
 
Nataka kuna siku nijaribu kumbeba mtoto angu kama hivi lol ila naogopa kumuangusha hivi nipeni tips basi

Unafunga mbeleko kwanza afu unamdumbukiza mwana huoni
Asprin
Alivyopatia muulize atakwambia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…