Aslay - Natamba (new joint)...!!!

Aslay - Natamba (new joint)...!!!

Atasanda tu kuna mtu alikuwa anaandika kama Jay Z au R.Kelly mkuu?
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho. Acha atoe tu zikiisha poa tu kwani hao wanaotoaga mara chache chache huwa hawasandi?
 
Nae kasample Karanga ya Saida karoli Dayamondi karudisha hili beat kwenye charts. I hope wamemlipa Karoli kama dayamondi alivyofanya
 
Ngoma ikilia Sana, Huyo dogo anakosea kutoa nyimbo kila Saa anatakiwa kuzipa mda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom