richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,535
PointHii Beat kali sana ilitakiwa mtu mwenye sauti ya kuvuta in high pitch kama Saida Karoli.
PointHii Beat kali sana ilitakiwa mtu mwenye sauti ya kuvuta in high pitch kama Saida Karoli.
Inawezekana kasample biti ila usofanye masihara na mashairi ya huyu mtotoNae kasample Karanga ya Saida karoli Dayamondi karudisha hili beat kwenye charts. I hope wamemlipa Karoli kama dayamondi alivyofanya
Maana yake anastoku yakutosha ya ngomaNgoma ikilia Sana, Huyo dogo anakosea kutoa nyimbo kila Saa anatakiwa kuzipa mda
Kweli mkuu, mchawi managementatafute management sasa asije kufa masikini na hit song zake
Stoku ya kutosha *yuko wapi sasa*Maana yake anastoku yakutosha ya ngoma