Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Mpaka hapo alipofikia Asley bado hajamsogelea Chid Benz wa wakati huo, Chid B aliwahi kumkunja tai Pro Jay kisa kiburi cha umaarufu leo hii anaishi kwa msaada wa sembe, Joseph Haule anatafunia kivulini. Tumpe muda atajua kuheshimu na kuishi na binadamu wenzake.
Ndo maana nimesema huyu dogo hizi sifa zitamponza maana Hawa wanaompa kichwa hawasikiliz hata nyimbo zake
 
Kuna wenzako wanapenda harufu za kibeberu! Akikutana na anayenukia perfume muda wote anajua ni mtoto wa mama na kwamba shughuli haiwezi! Wewe uliwahi kukutana na mwenye kunukia kibeberu?
Duuh yaani nipende harufu ya beberu?? Aisee hapana
 
Back
Top Bottom