THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,922
- 13,494
Ladies & Gentlemen...
Friends & Our Enemies...
With all of my due respect naomba nichukue fursa hii kumpongeza Mh Rais Dr Magufuli kwa kuwaumbua wale wanazi na wazandiki wenye hila ambao nia na lengo lao ilikua ni kumchafua na kumharibia image Dr Dau..aliekawa mkurugenz wa shirika la hifadhi ya jamii Nssf...
Hapa namnukuuu...'Mnyonge Mnyongeni lakin haki yake mpenii..Dr Dau na Nssf wamefanya kazi kubwa sana katika ujenz wa daraja hilii...kuna wengine hapa wakiona kias cha fedha kilichotumika hapa kwenye ujenz wa daraja hili utaskia oooh hapa pesa imeliwa kweli kwelii..ndug zangu..watanzania wenzangu..kujenga daraja kubwa na imara kama hili ni ghali kweli kweli...Tujifunze kupenda vya kwetuu na kuvithaminii..'Mwisho wa kunukuu...
Leo kupitia gazeti la Uhuru..Askofu anaeunda kamati inayohusika na aman na maadili amesimama na kusema kwamba Dr Dau ni vema akapewa tuzo ya heshima na ujasiri kutokana na kazi yake iliyotukuka kwa taifa hili...
Wapo watu na baadh ya magazeti wamekuwa wakiandika mambo ya hovyo na kuchafuana na kujenga chuki za udini kitu ambacho hakifai na hakijengi undug baina yetu...
Chanzo cha Taarifa hii ni gazeti la leo la Uhuru la leo Tarehe 21.04.2016...
Hongera sana Askofu kwa uzalendo na umadhubuti wa iman yako...
Taifa hili ni letu sote...