Mwanaume ujasiri wa kusuka na kuvaa hereni anautoa wapi?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
13,877
39,902
Kuna jambo huenda watu wengi hawalifahamu . Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kusuka kichwa anautoa wapi?

Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kuvaa hereni masikioni au puani anautoa wapi?
Jibu ni hili hapa chini 👇👇👇

Mkuu wa Dunia hii almaarufu Shetani ibun Ibilisi ndiye anayewapa ujasiri. Vijana wanaohangahika kutafuta umaarufu bila kujua kuwa kuna ibilisi ndiye mgawa umaarufu, shetani anawapa huo umaarufu lakini masharti yake ni wawe wajumbe wa mapenzi ya ya jinsia moja.

Zoezi linalofuata kumwagiwa hiyo roho chafu pamoja na umaarufu na kila wanapotazamwa kwenye runinga , simu na sehemu zingine automatically roho chafu za ushoga na kubadili jinsia zinamwagwa kwa watazamaji.
Eti leo kuna taasisi zinatetea haki ya mtu au mtoto kuchagua jinsia yake.

Soma Pia:
Mtoto anazaliwa ni wakiume lakini anaambiwa yuko free kuchagua gender. Huu ni ushetani.
Mtoto anazaliwa ni wa kike lakini anaambiwa yuko free kuchagua gender. What satanic is that!!
 
1000012610.jpg
 
Wengine wamerithi tabia za dada zao.
 
Hakuna uhusiano wowote wa kusuka , kuvaa hereni na ushoga ...

Kwa wengine huo ni utamaduni wao .

Japo ukisuka na kuvaa hereni halafu huna pesa unaonekana kama umechanganyikiwa hivi...
Kwahiyo kwa akili zako kitu akifanya mzungu au black American it's just culture tu hata kama ni matendo ya ushoga
Vijana acheni utumwa wa fikra.
Mungu hakuumba wanaume wajinga kiasi hicho . Eti mwanaume kuvaa hereni ni utamaduni.
Hata kufirwa itakuwa ni utamaduni kwa wengine
 
Back
Top Bottom