Askofu Stephen Munga: Usiogope Lissu! Tunaishi kama zawadi ili tupiganie haki za wanaoonewa

Hii Barua ambayo ameandikiwa Tundu lissu kiukweli imenisononesha sana.. Eeeeh Mungu Lipa kisasi kwa kila aliehusika kwenye jaribio la mauaji ya Mtanzania mwenzetu...


Mungu huu ndio muda Wa kutudhihirishia uwepo wako... Japo Baba Mungu hauna SAA, siku,wiki, mwezi au mwaka ujulikanao kujibu maombi tunaomba utusaidie kuwadhuru hawa wauaji ndani ya kipindi hiki.



Lakini Pia shetani popote ulipo nakuomba utusaidie kuwateketeza waovu wote, Najua shetani huungi mkono kilichofanywa nakusihi muda Wa kutupata sisi kama wafuasi wako ni huu, Teketeza wote waliohusika na jaribio hili.
 

Attachments

  • 1505412071254.png
    1505412071254.png
    21.3 KB · Views: 23
  • 1505412084283.png
    1505412084283.png
    13.9 KB · Views: 26
Wafute barua kama hii!? Mods hawako hivyo.
Mkuu wameshaunga Uzi wangu na Uzi mwingine yani sijui JF imekuaje nowadays ... Hivi content ya nilichokiandika kinafanana na huu Uzi uliounganishwa !!//?. .... Muwe mnasoma content bwana
 
Hadi machozi yamenitoka! Kama wauwaji Wanajua kusoma na kuandika nadhan ujumbe umewafikia! Wajue duniani tunapita tuu! Waache kujitafutia laana
 
Usiogope wauao mwili wakaacha roho,Bali muogopeni auaye mwili na roho pia katika jehanamu
 
Back
Top Bottom