Askofu Stephen Munga: Usiogope Lissu! Tunaishi kama zawadi ili tupiganie haki za wanaoonewa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,259
2,000
ANAANDIKA KWA UCHUNGU
BABA ASKOFU STEPHEN MUNGA

TUNDU LISSU: Mungu akupe kupona haraka rafiki na mwanangu wa kiroho. Nilikufahamu muda mrefu na tulipambana pamoja katika ufisadi wa madini kabla hujawa Mbunge. Ninajua roho yako ya mpambanaji jasiri, shupavu na mwaminifu.

Umekuwa sauti ya wanyonge kwa muda mrefu. Nimeendelea kukufuatilia hata ukiwa bungeni na kuona ni yuleyule ambaye hawezi kunyamazishwa na vitisho vyovyote. Umeteseka na kuteswa kwa ajili ya kupigania haki za ...wanyonge.

Nilikupigia simu mara kadhaa siku moja kabla ya hiyo siku kushambuliwa kwako lakini sikuweza kukufikia. Nilichotaka kukuambia ni maneno yaleyale ya siku zote: kwamba usiogope Lissu! Tunaishi kama zawadi ili tupiganie haki za wanaoonewa. Nilipigwa na butwaa kwa habari za kushambuliwa kwako. Ngoja damu yako iwe mikononi mwao waliofanya hivyo. Wewe utabaki kuwa shujaa katika kumbukumbu za nchi hii. Ipo siku tutaushinda uovu na haki itatawala.

Hakuna mamlaka inayoshinda nguvu na sauti ya wapigania haki. Yeyote aliyefanya hili amefanya kosa kubwa na la kiufundi. Kama utaishi au kama utakufa ujue kwamba wewe ni shujaa. Lakini nakuhakikishia jambo moja: hatutanyamazia uovu uwao wowote na kamwe hatutaacha kusimama na wale wote wanaotetea kweli na haki.

Hiyo madhabahu iliyoandaliwa kuwachinja watetea haki ipanuliwe maana hiyo iliopo ni ndogo haiwezi kuwabeba wote wenye roho na nia kama yako. Tunakufa mara moja na baada ya kufa ni uzima wa milele.

Kwetu sisi kuishi ni Kristo na kufa ni faida
 
Double Elephants

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
518
500
ANAANDIKA KWA UCHUNGU
BABA ASKOFU STEPHEN MUNGA

TUNDU LISSU: Mungu akupe kupona haraka rafiki na mwanangu wa kiroho. Nilikufahamu muda mrefu na tulipambana pamoja katika ufisadi wa madini kabla hujawa Mbunge. Ninajua roho yako ya mpambanaji jasiri, shupavu na mwaminifu. Umekuwa sauti ya wanyonge kwa muda mrefu. Nimeendelea kukufuatilia hata ukiwa bungeni na kuona ni yuleyule ambaye hawezi kunyamazishwa na vitisho vyovyote. Umeteseka na kuteswa kwa ajili ya kupigania haki za ...wanyonge. Nilikupigia simu mara kadhaa siku moja kabla ya hiyo siku kushambuliwa kwako lakini sikuweza kukufikia. Nilichotaka kukuambia ni maneno yaleyale ya siku zote: kwamba usiogope Lissu! Tunaishi kama zawadi ili tupiganie haki za wanaoonewa. Nilipigwa na butwaa kwa habari za kushambuliwa kwako. Ngoja damu yako iwe mikononi mwao waliofanya hivyo. Wewe utabaki kuwa shujaa katika kumbukumbu za nchi hii. Ipo siku tutaushinda uovu na haki itatawala. Hakuna mamlaka inayoshinda nguvu na sauti ya wapigania haki. Yeyote aliyefanya hili amefanya kosa kubwa na la kiufundi. Kama utaishi au kama utakufa ujue kwamba wewe ni shujaa. Lakini nakuhakikishia jambo moja: hatutanyamazia uovu uwao wowote na kamwe hatutaacha kusimama na wale wote wanaotetea kweli na haki. Hiyo madhabahu iliyoandaliwa kuwachinja watetea haki ipanuliwe maana hiyo iliopo ni ndogo haiwezi kuwabeba wote wenye roho na nia kama yako. Tunakufa mara moja na baada ya kufa ni uzima wa milele. Kwetu sisi kuishi ni Kristo na kufa ni faida
Well said, Baba Askofu Muga.
Nimepapenda hapa ninanukuu "Hiyo madhabahu iliyoandaliwa kuwachinja watetea haki ipanuliwe maana hiyo iliopo ni ndogo haiwezi kuwabeba wote wenye roho na nia kama yako". Mwisho wa kunukuu.

[HASHTAG]#PrayforTunduLissu[/HASHTAG]
 
Said Cosmetics

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
1,447
2,000
ANAANDIKA KWA UCHUNGU
BABA ASKOFU STEPHEN MUNGA

TUNDU LISSU: Mungu akupe kupona haraka rafiki na mwanangu wa kiroho. Nilikufahamu muda mrefu na tulipambana pamoja katika ufisadi wa madini kabla hujawa Mbunge. Ninajua roho yako ya mpambanaji jasiri, shupavu na mwaminifu. Umekuwa sauti ya wanyonge kwa muda mrefu. Nimeendelea kukufuatilia hata ukiwa bungeni na kuona ni yuleyule ambaye hawezi kunyamazishwa na vitisho vyovyote. Umeteseka na kuteswa kwa ajili ya kupigania haki za ...wanyonge. Nilikupigia simu mara kadhaa siku moja kabla ya hiyo siku kushambuliwa kwako lakini sikuweza kukufikia. Nilichotaka kukuambia ni maneno yaleyale ya siku zote: kwamba usiogope Lissu! Tunaishi kama zawadi ili tupiganie haki za wanaoonewa. Nilipigwa na butwaa kwa habari za kushambuliwa kwako. Ngoja damu yako iwe mikononi mwao waliofanya hivyo. Wewe utabaki kuwa shujaa katika kumbukumbu za nchi hii. Ipo siku tutaushinda uovu na haki itatawala. Hakuna mamlaka inayoshinda nguvu na sauti ya wapigania haki. Yeyote aliyefanya hili amefanya kosa kubwa na la kiufundi. Kama utaishi au kama utakufa ujue kwamba wewe ni shujaa. Lakini nakuhakikishia jambo moja: hatutanyamazia uovu uwao wowote na kamwe hatutaacha kusimama na wale wote wanaotetea kweli na haki. Hiyo madhabahu iliyoandaliwa kuwachinja watetea haki ipanuliwe maana hiyo iliopo ni ndogo haiwezi kuwabeba wote wenye roho na nia kama yako. Tunakufa mara moja na baada ya kufa ni uzima wa milele. Kwetu sisi kuishi ni Kristo na kufa ni faida
1[kwel]2

beautian proffessional
 
Dezoizo52

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
400
1,000
Baba askofu umenena jambo jema na lenye hekma sana.Naomba utambue ya kwamba nimefarijika kwa maneno ya busara kutoka kwa kiongozi wa kiimani kama wewe.Sasa hivi maaskofu,wachungaji na masheikhe wengi ni wasaka tonge wanaojipendekeza kwa mafisafi na hata kupata mgao wa dili zinazochezwa serikalini kama malipo ya maombi yao ya kishetani.Niitimishe kwa kukutakia kila lenye jema baba askofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,485
2,000
ANAANDIKA KWA UCHUNGU

BABA ASKOFU STEPHEN MUNGA

Mwanangu TUNDU LISSU:

Mungu akupe kupona haraka rafiki na mwanangu wa kiroho. Nilikufahamu muda mrefu
na tulipambana pamoja katika ufisadi wa madini kabla hujawa Mbunge.

Ninajua roho yako ya mpambanaji jasiri, shupavu na mwaminifu. Umekuwa sauti ya wanyonge kwa muda mrefu. Nimeendelea kukufuatilia hata ukiwa bungeni na kuona ni yuleyule ambaye hawezi kunyamazishwa na vitisho vyovyote.

Umeteseka na kuteswa kwa ajili ya kupigania haki za wanyonge. Nilikupigia simu mara kadhaa siku moja kabla ya hiyo siku kushambuliwa kwako lakini sikuweza kukufikia. Nilichotaka kukuambia ni maneno yaleyale ya siku zote: kwamba usiogope Lissu!

Tunaishi kama zawadi ili tupiganie haki za wanaoonewa. Nilipigwa na butwaa kwa habari za kushambuliwa kwako. Ngoja damu yako iwe mikononi mwao waliofanya hivyo. Wewe utabaki kuwa shujaa katika kumbukumbu za nchi hii. Ipo siku tutaushinda uovu na haki itatawala. Hakuna mamlaka inayoshinda nguvu na sauti ya wapigania haki. Yeyote aliyefanya hili amefanya kosa kubwa na la kiufundi. Kama utaishi au kama utakufa ujue kwamba wewe ni shujaa.

Lakini nakuhakikishia jambo moja: hatutanyamazia uovu uwao wowote na kamwe hatutaacha kusimama na wale wote wanaotetea kweli na haki. Hiyo madhabahu iliyoandaliwa kuwachinja watetea haki ipanuliwe maana hiyo iliopo ni ndogo haiwezi kuwabeba wote wenye roho na nia kama yako.

Tunakufa mara moja na baada ya kufa ni uzima wa milele. Kwetu sisi kuishi ni Kristo na kufa ni faida.

Askofu Dr Stephen Munga,

KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.
 
Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,314
2,000
ANAANDIKA KWA UCHUNGU
BABA ASKOFU STEPHEN MUNGA

TUNDU LISSU: Mungu akupe kupona haraka rafiki na mwanangu wa kiroho. Nilikufahamu muda mrefu na tulipambana pamoja katika ufisadi wa madini kabla hujawa Mbunge. Ninajua roho yako ya mpambanaji jasiri, shupavu na mwaminifu. Umekuwa sauti ya wanyonge kwa muda mrefu. Nimeendelea kukufuatilia hata ukiwa bungeni na kuona ni yuleyule ambaye hawezi kunyamazishwa na vitisho vyovyote. Umeteseka na kuteswa kwa ajili ya kupigania haki za ...wanyonge. Nilikupigia simu mara kadhaa siku moja kabla ya hiyo siku kushambuliwa kwako lakini sikuweza kukufikia. Nilichotaka kukuambia ni maneno yaleyale ya siku zote: kwamba usiogope Lissu! Tunaishi kama zawadi ili tupiganie haki za wanaoonewa. Nilipigwa na butwaa kwa habari za kushambuliwa kwako. Ngoja damu yako iwe mikononi mwao waliofanya hivyo. Wewe utabaki kuwa shujaa katika kumbukumbu za nchi hii. Ipo siku tutaushinda uovu na haki itatawala. Hakuna mamlaka inayoshinda nguvu na sauti ya wapigania haki. Yeyote aliyefanya hili amefanya kosa kubwa na la kiufundi. Kama utaishi au kama utakufa ujue kwamba wewe ni shujaa. Lakini nakuhakikishia jambo moja: hatutanyamazia uovu uwao wowote na kamwe hatutaacha kusimama na wale wote wanaotetea kweli na haki. Hiyo madhabahu iliyoandaliwa kuwachinja watetea haki ipanuliwe maana hiyo iliopo ni ndogo haiwezi kuwabeba wote wenye roho na nia kama yako. Tunakufa mara moja na baada ya kufa ni uzima wa milele. Kwetu sisi kuishi ni Kristo na kufa ni faida
.
Amina baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom