Askofu Shoo siyo Mfuasi wa Martin Luther!

Askofu Shoo siyo Mfuasi wa Martin Luther!

Ndicho kilichotokea, kwani mawazo ya Martin Luther yalileta Mapinduzi makubwa, kwanza Vita kubwa iliyojulikana kama ,,thirty years war" 1618-1648 ambapo inasemekana ni Vita mbaya kuwahi kutokea Ulaya, vile vile usisahau kwamba pamoja na Kanisa Katoliki kumpinga Martin Luther lkn pia walichukuwa mawazo yake (baadhi) na kuyafanyia kazi yale madai yake waliyashughulikia kama kutafsiri Biblia kwenda Lugha mbali mbali ili wote waelewe hii ilikuwa ni kazi ya Luther yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kutafsiri Biblia kwenda Lugha yake, jambo ambalo lilikuwa haliruhusiwi ni kama vile Waislamu leo hii huwezi hairuhusiwi kutafsiri Kurani kutoka Kiarabu kwenda Lugha nyingine!

Vile vile indulgence ilikomeshwa na Kanisa Katoliki ambapo ndipo lilikuwa lengo hasa la Luther kuwapigania Masikini ambao walikuwa wanalazimishwa na Kanisa Katoliki ,,kununua dhambi" sasa kama haya siyo Mapinduzi basi labda sielewi maana ya Mapinduzi!
Ni sawa. Lakini, ideologically, Luther alipindua nini? Core foundations alizopigania kuwa restored ambazo ni NENO,IMANI &KRISTO vilibaki.Mapinduzi ni radical,maybe bring in something new.
Call him Reformist as the Vatican do.
 
Ni sawa. Lakini, ideologically, Luther alipindua nini? Core foundations alizopigania kuwa restored ambazo ni NENO,IMANI &KRISTO vilibaki.Mapinduzi ni radical,maybe bring in something new.
Call him Reformist as the Vatican do.


Martin Luther yeye binafsihakupindua chohcote kwanza kinyume na wengi wanavyofikiria Martini Luther wala hakuwa na nia ya kuondoka Kanisa Katoliki bali alitaka lifwate mafundisho ya kwenye Biblia hivyo aliamua kupambana kulibadilisha hilo lkn kazi yake ndiyo iliyozaa Mapinduzi makubwa lkn yeye mwenyewe hilo halikuwa lengo lake, ili mawimbi yake yalisikika Dunia nzima (Ulaya) na Mapinduzi kufwatia na yaligusa karibia kila nyanja Ulaya kwani ikumbukwe kwamba Ulaya wakati huo Kanisa lilikuwa ni Dola, Papa alikuwa ni Kiongozi wa Kisiasa pia, hivyo kazi ya Martini Luther ilizaa Mapinduzi kwani pia mambo ya kutenganisha Dini na Siasa yalikuja pia, ...
 
Bila Martini Luther kusingekuwa na Uprotestanti, inaelekea hata Ukristo wenyewe hauelewi vinginevyo usingeandika ulivyoandika!
Si kweli. Waprotestanti ni wale walioukana Ukatoliki. Martin Luther si mwanzilishi kama unavyodai.
 
Si kweli. Waprotestanti ni wale walioukana Ukatoliki. Martin Luther si mwanzilishi kama unavyodai.


Unaelewa kwanza maana yake? Na unajua ni kwa nini wanaitwa protestants? Hilo wazo lilitokea wapi? kajifunze jupya someni sana ili juelewa vizuri hizi Dini na siyo kufwata tu garai bovu!

Labda nikuulize ni kwa nini wanaitwa Wa-Lutheri?
 
Hata kama sio mfuasi wa martin luther lkn yuko principled and by the way martin luther was a human being tunaye mwamini ni Yesu tu. Huyo ml alitumika kututoa kwenye utumwa wa kitaliano tu basi lkn mwelekeo ni kumtii kristo full stop. Wewe ng'ang'ana na huyo mliyemtisha akawaogopa. Mpeni kazi sasa
 
Back
Top Bottom