Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
- Thread starter
- #21
Huu utetezi wenu wa Malasusa unazidi kumharibia. Mnakataza Kanisa kufanya siasa kisha nyiye wenyewe mnaingiza siasa Kanisani.
Mimi simtetei yoyote bali napinga Mafisadi kuutumia Ulutheri kuonea na kuibia watu, Martin Kuther alipigania wanyonge maisha yake yote!