Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,027
- 871,124
Mungu akusamahe kwa hiki ulichoandika... Hizi ni siasa usijaribu kuleta mvurugano.... Hutapona... Ndani ya nyumba za ibada hakuna vyama kuna waamini na wauminiMartin Luther Mwanamapinduzi na mwanzilishi wa Uprotestanti Duniani angemkataa Askofu Shoo, Martini Luther alikuwa mtetezi wa Wanyonge na ndicho kilichomfanya alipe changamoto Kanisa Katoliki, Martin Luther hakuwa wakala wa Mafisadi kwanza ni kinyume chake, hivyo Askofu Shoo na KKKT hamumwakilishi Martin Luther kwani mnamtumikia Binadamu bwanyenye, jambo ambalo Martin Kuther alitumia muda wake na Maisha yake yote kulipinga.
Tunaitaka KKKT yetu, na Askofu Shoo unaweza kwenda, ...
Mungu akurehemu na kukusamehe tena