Askofu Shoo asema Ufisadi umeanza kutajwatajwa tena, hauleti baraka kwa taifa

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile.

“Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa, ubinafsi na kiburi, iwe kisiasa au kanisani, au kiburi mambo hayo hayaleti baraka. Tusimamie yaliyo ya haki, ndipo amani ya kweli inayotoka moyoni inaweza kutawala

Ameyasema hayo Jumamosi Aprili 16, 2021 wakati akitoa salamu za Pasaka kwa Watanzania, amesema kila mmoja anapaswa kusimamia haki na kweli ili amani iweze kutawala katika mioyo ya watu na hata katika Taifa.

Mwananchi wameripoti
Sio unatajwa, umetamalaki! Wapuuzi Sana hawa!
 
Askofu shoo, wewe pia unatajwatajwa kule jimbo la Konde kuhusu bilioni mbili, wanasema Kuna ufisadi kwenye hayo mabilioni, yamepigwa, na pia Ile hoteli ya matema, Mali ya kanisa, mmeshaitafutia mteja, Wana Konde walipokataa Mali yao isiuzwe, ukaandaa zengwe kumfukuza askofu wao.

Yaani wewe askofu wa kilimanjaro, unafunga safari mpaka Mbeya kumfukuza askofu mwenzako, ukijua katiba ya kanisa haikuruhusu na kukupa mamlaka
Kinembe usiingilie dini, ccm imemaliza hii nchi! Tuanze na hilo kwanza haya mengine yatajiseti tu!
 
Kasema mambo ya ufisadi yanayoanza kutajwatajwa kwa sasa. A strong diplomatic message.
 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile.

“Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa, ubinafsi na kiburi, iwe kisiasa au kanisani, au kiburi mambo hayo hayaleti baraka. Tusimamie yaliyo ya haki, ndipo amani ya kweli inayotoka moyoni inaweza kutawala

Ameyasema hayo Jumamosi Aprili 16, 2021 wakati akitoa salamu za Pasaka kwa Watanzania, amesema kila mmoja anapaswa kusimamia haki na kweli ili amani iweze kutawala katika mioyo ya watu na hata katika Taifa.

Mwananchi wameripoti
Baba Askofu Shoo hutakaa uishi na kumuona rais M- KKKT
 
Kumbe wewe unampigia kura mgombea wa dhehebu lako!
ziko sababu nyingi sana za kupiga kura hiyo pia ni mojawapo. KKKT 2015 walisema ilikuwa zamu yao kwamba toka uhuru wajawahi kutoa rais na bado wanaota hizo ndoto na ziko kwa gaidi Mbowe. K wa gaidi Mbowe mkeka utachanika
 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile.

“Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa, ubinafsi na kiburi, iwe kisiasa au kanisani, au kiburi mambo hayo hayaleti baraka. Tusimamie yaliyo ya haki, ndipo amani ya kweli inayotoka moyoni inaweza kutawala

Ameyasema hayo Jumamosi Aprili 16, 2021 wakati akitoa salamu za Pasaka kwa Watanzania, amesema kila mmoja anapaswa kusimamia haki na kweli ili amani iweze kutawala katika mioyo ya watu na hata katika Taifa.

Mwananchi wameripoti
Watawala hata neno HAKI hawalitaki. Shauri ya KIBURI.
 
Back
Top Bottom