Viongozi wa dini ni kioo kwenye jamii,tunamshukuru sanaAskofu Shao aliwahi kumsifia Magufuli hadi kumfananisha na Rais wa Zimbabwe aliyeondoka madarakani Robert Mugabe
Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!
Lakini kwenye leo kwenye ibada ya Krismas iliyofabyika leo Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Augustino Shao amesema ipo haja kwa serikali kuelewa dhana ya demokrasia kutokana na mchango wake katika maendeleo ya taifa
Amesema mizengwe iliyofanyika kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani huko bara ni ishara kuwa serikali haielewi maana ya demokrasia, yaani kutofautiana
Pia amekemea watu wanaoiibia serikali na kusema hiyo ni dhambi kubwa
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
YEHODAYA hivyo ni vibwagizo tu katika ujumbe sio ujumbe wa ibada, endelea tu kwenda churchHawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Hahaaa!!!! Msema kweli mpenzi wa MunguViongozi wa Dini wameshtuka wanaweza kuwa wanamuombea shetani. hongera askofu
Stupid mwenyewe kenge mkubwa wewe,fanya ujinga mwingine watu tutakuvumilia lkn siyo kumkejeli kiongozi wa kirohoHawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Mkuuu,shetani tenaViongozi wa Dini wameshtuka wanaweza kuwa wanamuombea shetani. hongera askofu
Mkuu upo?habari za xmass?Hii ni afya
TL alisema hakuna aliye salamaViongozi wa Dini wameshtuka wanaweza kuwa wanamuombea shetani. hongera askofu