Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

Musa hakufanya siasa. Musa alitumwa na Mungu. Ndiyo maana alilalamika kidogo juu ya uwezo wake na Mungu akampa Haruni kumsaidia.
Hakuna tofauti ya alichokifanya Musa kwa wana wa Israeli na alichokifanya Mandela kwa wa South Africa.Zote ni siasa baba yangu.
 
Huyu askofu ni hovyo kabisa. Amesahau wakati wa Kikwete alikuwa akitoa matamko na malalamiko ya kisiasa mengi tu. Mungu siku zote hamfichi mnafiki.
 
Huu ndio ukweli. Kanisani au misikitini tunaenda kwa ajili ya ibada na si kufanya siasa. Sina uhakika kama ugandamizaji wa demokrasia unaoelezwa na hawa maaskofu ni kwa ajili ya haki ya kuabudu kuminywa? Kumbukeni kuwa kila muumini anayo itikadi yake ambayo kama maaskofu / mapadre/ mashehe wataiingilia, watakuwa wanawakwaza kiimani!
Ya Mungu yaacheni yawe ya Mungu na ya Kaisari acha yawe ya Kaisari!
 
Penngo anatetea Ugali wake ....wala hakuna kingine....maana Hakuna kiongozi was dini anayeishi maisha ya Anasa kama Pengo.
 
Sijaona hata sehemu moja ambako wameweza kusali vizuri ikiwa nchi Ina migogoro watu wanapigana vita, hata bikira maria mama Wa Mungu hutokea Mara kwa Mara duniani kote akiasa Amani je naye anachanganya dini na siasa

Huyu askofu kakua sana mawazo yake yanapingana siku hizi hayupo competent katika kujibu maswali kama haya
 
Hata majibu ya Pengo kajibu kisiasa.namuhasa tu ajue Dunia inaendeshwa na vitu viwili.Siasa na Dini.vingine vyote ninafuata.
 
Sijaona hata sehemu moja ambako wameweza kusali vizuri ikiwa nchi Ina migogoro watu wanapigana vita, hata bikira maria mama Wa Mungu hutokea Mara kwa Mara duniani kote akiasa Amani je naye anachanganya dini na siasa

Huyu askofu kakua sana mawazo yake yanapingana siku hizi hayupo competent katika kujibu maswali kama haya

Huyu Askofu amekosa sifa ya kuwa na Collective Accountability. Haiwezekani Maaskofu wa Catholics watoe waraka wa Kwaresma alafu wewe Askofu Pengo ambaye lazima ulikuwa sehemu ya maaskofu waliofanya maamuzi uje kivyakovyako kutoa maneno yenye maudhui yanayokinzana na wenzio!
 
Naungana na wewe kabisa na nimeamua mpaka atakapostaafu sitotoa tena mchango wa tegemeza jimbo
Punguza jazba.Usitoe mchango wa tegemeza jimbo kwa ajili ya Mwadhama kadinali Pengo,toa ili Injili Takatifu ienee ulimwenguni kote.Mwenyezi Mungu atakulipia na wala si Mwadhama Kaninali Pengo.

Pia kanisa Katoliki Tanzania lipo chini nya baraza la maaskofu(TEC),msimamo wao ndiyo msimamo wa kanisa.Maoni ya Kadinali Pengo HAYABALIDI MSIMAMO WA TEC ambao ndiyo msimamo wa Kanisa.Nawashanga mnaohamaki na maoni ya Kadinali Pengo.Jifunzeni kutohamishwa hamishwa toka kwenye mambo ya msingi maana hii ndiyo shida kubwa ya sisi watanzania.KUHAMISHWA HAMISHWA.
 
Wasalaam, kwa wasiojua cardinali pengo ni mwanasiasa tangu siku nyingi na anashabikia chama cha mapinduzi( ccm). Nimefedheheka kumsikia akiwaambia maaskofu wenzie wasichanganye dini na siasa wakati huo yeye ndo anahubiri siasa. Kwa mujibu wa historia siasa ilianza na dini, bila kuwepp dini kusingezaliwa neno siasa.

Zote tunakumbuka askofu huyo alipata mgao wa fedha haramu za TEGETA ESCROW na alizibeba kwenye mfuko wa kiroba.
Tujiulize je ni kiongozi gani mwingine awe wa kikristo au kiislam alipata mgao wa fedha haramu za TEGETA ESCROW? jibu ni hakuna na kwa muktadha huo ni wazi kwamba askofu pengo analitumikia tumbo lake ,familia yake na ccm; upande wa mwingine analitumikia kanisa katoliki.

Katika nyakati hizi tumeshuhudia uongozi wa kiimla unaovunja na kunajisi katiba ya mwaka 1977 yenye viraka lukuki. Askofu pengo amesahau kwamba mwenyezi mungu alimteremshia musa sheria na hukumu na kumuonya awahukumu Israel kwa haki bila kumwonea MTU. Inashangaza kuona askofu anatetea utawala usiofata misingi ya katiba. Katiba ndio sheria mama ya taifa lolote dunia, maaskofu hawajapinga utawala wa awamu ya tano wamesisitiza nchi iongozwe kwa mujibu wa katiba na sheria zilizotungwa na bunge kwa niaba ya wananchi.

Pia wameenda mbali kwa kuishauri serikali ya wanyonge ya awamu ya tano, ili ishinde vita dhidi ya ufisadi ni vema wakarejesha kwa wananchi mchakato wa katiba mpya ya mzee warioba, hii ingeweza kuwa muarobaini wa matatizo yote yanayotukabili na rais kwa kuwa hapendi wizi, ufisadi, uzembe na mengineyo katiba hii ingetoa Dira ya Tanzania mpya ya viwanda bila kuacha chuki, visasi na sintofahamu iliopo.

Mungu atunusuru, kiongozi mmoja anapopinga maono ya waliowengi kwa wenye imani tunasema alipitiwa na shetani namshauri akatubu.
 
Taja andiko ukristo ni dini. Huna na wala hutalipata....
Rudi kwenye uzi tafadhali malyenge... wewe nikikwambia taja andiko muhammad katahiriwa unalo? nilikwisha kujibu kwamba Ukristo sio dini ilaha ni Njia ya kwenda sardaus
 
Ilianza kwa shehe, sasa kwa kardinali. Kuchanganyikiwa huku
 
Mkombozi bank iliyotumika kupitisha fedha za escrow ipo chini ya Pengo,Maana yake alishirikiana na wezi kuibia watanzania.
 
Mnataka maskofu wote wawe chadema hii inaitwa DOUBLE STANDARD....tusilazimishane
Hizi ni fikra potofu.Kila anaeongea UKWELI katika Taifa letu kwa sasa anakuwa au ni CHADEMA AU MCHOCHEZI.Ninyi ni watu wa AJABU sijawahi kuwaona.Maaskofu,Haki za binadamu,wanaharakati na mamilioni ya watanzania kwa sasa wanaongea lugha moja na CHADEMA.HAMJAJIFUNZA KITU BADO?.Ninaomba Mtanzania yoyote atakaebahatika kuwa malaika huko mbinguni arudi Tanzania ili aushuhudie huu UKWELI unaosemwa na maaskofu,Haki za binadamu, wanaharakati na mamilioni ya watanzania.
 
Dini na siasa hatari

Hivi wale viongozi wa kkkt siku wakiongea jambo upande wa serikali nao mtawapa maneno makali kama mnayoyatoa saiv?
 
Rudi kwenye uzi tafadhali malyenge... wewe nikikwambia taja andiko muhammad katahiriwa unalo? nilikwisha kujibu kwamba Ukristo sio dini ilaha ni Njia ya kwenda sardaus
Unauliza mwanaume mwenzio kama ametahiriwa wa nini?
 
Rudi kwenye uzi tafadhali malyenge... wewe nikikwambia taja andiko muhammad katahiriwa unalo? nilikwisha kujibu kwamba Ukristo sio dini ilaha ni Njia ya kwenda sardaus
Sirudi kwenye uzi. Wewe si ndio unaongoza kwa kukashifu uislam? Kila uzi ukibandikwa humu unapost manyama ya nguruwe na majitu yasiyoeleweka. Ndio na mimi kila uzi ukija unaohusu ukristo lazima nimwage mboga. Kama mnataka nisimwage tangazeni kuanzia leo mtaheshimu uislam.
 
Unauliza mwanaume mwenzio kama ametahiriwa wa nini?
rudi kwa topic dogo nilijua utakumbushia mchezo wa kisilamu
IMG_20180225_094907_710.jpg
ndicho kilicho moyoni mwako na kuamini, unatapika sasa
 
Back
Top Bottom