cdc
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 445
- 419
Napata wakati mgumu sawa nnapokutana na comments za watu wa aina yako. Maisha ya siasa yanamgusa kila mtu. Miongoni mwa kazi za viongozi wa dini ni kuonya, kushauri hata kukaripia. Sasa ww unaposema ya kaisari mwachie kaisari so you mean hata haki za watu zikiporwa wao waendelee tu kuwaombea wanaosema "mniombee"?Huu ndio ukweli. Kanisani au misikitini tunaenda kwa ajili ya ibada na si kufanya siasa. Sina uhakika kama ugandamizaji wa demokrasia unaoelezwa na hawa maaskofu ni kwa ajili ya haki ya kuabudu kuminywa? Kumbukeni kuwa kila muumini anayo itikadi yake ambayo kama maaskofu / mapadre/ mashehe wataiingilia, watakuwa wanawakwaza kiimani!
Ya Mungu yaacheni yawe ya Mungu na ya Kaisari acha yawe ya Kaisari!