Askofu Mwamakula: Polepole ametahadharisha tusipokuwa makini, Serikali inaweza 'kutekwa nyara' na kubaki kama 'mwanasesere'

Kama anaongea uongo kwanini wahusika ndani ya Serikali wasikanushe hadharani? Serikali hii imejaa waongo, wezi, mafisadi na wabadhirifu na kwa miaka mingi wamekuwa wakiongea uongo wa hali ya juu bila kujali athari ya uongo huo kwa nchi yetu.

Angalia uongo kama huu wa Majaliwa ambao hadi hii leo hakuna aliyeukemea watu ndani ya hii Serikali wameamua kujifanya kama vile hawakuusikia.

658B4641-A4D8-4E19-AC7C-30FC42344CCC.jpeg

Na hili ndio tatizo la Tanzania yetu. Ukitaka kupata mashabiki, ongea kile wanachopenda kusikia. Hata Bashite akiibuka leo na kujifanya anasapoti "Katiba Mpya," ataonekana shujaa...
 
Free thinking ni heshima na utu ni upumbavu kumzungumzia mtu, tz imejaa wanautopolo kichwani. Just fuckoff with ur zero brain. Brain zeri kbsa.
 
Shida hii inchi waandishi wetu ni wapuuzi tu. Huyu mnamuweka kwenye 18 na maswali..

Huku mkimpa rejea 1000 hivi.. kisha mnaziweka public.

Lazima arudi akalime.

Sio kutuletea huu upuuzi wake. Kwanza nashangaa wazee wakazi hawajamfuata hadi muda huu.
 
Hao walikuepo toka zamani huko hata enzi za kina Stalin,baada ya Stalin kufariki walijitokeza watu wa aina hii...
 
Kama anaongea uongo kwanini wahusika ndani ya Serikali wasikanushe hadharani? Serikali hii imejaa waongo, wezi, mafisadi na wabadhirifu na kwa miaka mingi wamekuwa wakiongea uongo wa hali ya juu bila kujali athari ya uongo huo kwa nchi yetu. Angalia uongo kama huu wa Majaliwa ambao hadi hii leo hakuna aliyeukemea watu ndani ya hii Serikali wameamua kujifanya kama vile hawakuusikia. View attachment 1936490
masuala ya namna hii ndio huonyesha wazi namna viongozi wanavyo tuchukulia wananchi kwa ujumla ni wazi vitu vingi vyauongo hutuambia ili kuturidhishatu ....labda kweli wakati anaongea alikuwa mzima ikiwa tu jambo lilokuwa linaendelea nyuma ya pazia linafananana kilichompata Aldo Moro aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia ama pia hakuwa anajua lolote vyovyote vile alipaswa kutoa ufafanuzi maana kisiasa hili suala halitamuacha salama
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Polepole banaa.

Si ndio huyuhuyu aliyekuwa "mzalendo wa katiba ya Warioba" na kuwakimbia wenzake baada ya KUTEULIWA UONGOZI NDANI YA CCM ?

Polepole aache hadaa kwa kukosa nafasi kubwa za UONGOZI ALIZOZIOTA.


#SiempreJMT
 
mimi pia, juzi nimesikia, kupitia watu maana mimi kwakweli siwezi kamwe kumsikiliza huyo jamaa, anasema wazungu hawajawahi kuleta dawa inayotibu vidonda vya tumbo, wala kisukari, wala pumu n.k. akimaanisha tusiamini dawa zao bali tuchukie haswaaa...
Ashapoteza kila kitu
 
Ni kweli mkuu!!!ila hata kama ungekuwa wewe lazima tu akili zipandiane, kwa maisha aliyokuwa ana kula, akiogopwa na wana ccm wabunge wote, enzi za jiwe!!alikuwa akiamini anaenda kuwa mtu mkubwa sana, ghafla tu anajikuta hapo alipo lazima akili zisikae sawa tu.
 
Back
Top Bottom