Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Nafasi yake ya uaskofu mkuu imechukuliwa na Jacob chimeledye wa dayosisi ya kondoa hivyo yeye anabakia kuwa askofu wa jimbo la dsm
Asante sana kwa taarifa mkuu, sikuwa na update kabisa. Ila kwa DSM si ndiyo wanakutana maaskofu wao kukemea maovu? Hata majuzi walikuwa na kikao wote wa kikristo na inasemekana alikuwepo mtu wa serikali na walikataa kupiga naye picha.